Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kama namdharau lakini hiki sio kiingereza cha Diamond.
.diamondplatnumz said:best photographer ov all tym
Ni bora ungeandika hcho hcho kiingereza chako kibovu, hata unapokosea watu wajue wanakurekebisha vipi ,kuliko kufanya ivi, be your self brother, hii sio lugha yetu , wote tunajifunza , hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu.
Anaandikiwaa na Wemaa hilo halina ubishiiii
Jamani jamanj mweeee! Hivi mlishawahi kuwa walimu wake? Huenda kaandika mwenyewe, its possible
Sent from Nokla using Jf app
Yaan hata unikate kichwaa sibadilishiii unataka ligii ntakuacha mwenyeweee

OMG! Haya ebu ona hiki cha Boss wa facebookView attachment 146940
Ila hiki nilikichukua siku nyingi nimuonyeshe Nyani Ngabu jinsi kilivyo simpo na clear kuliko kile anachotupigs nacho mkwara humu
Sent from Nokla using Jf app
OMG! Haya ebu ona hiki cha Boss wa facebookView attachment 146940
Ila hiki nilikichukua siku nyingi nimuonyeshe Nyani Ngabu jinsi kilivyo simpo na clear kuliko kile anachotupigs nacho mkwara humu
Sent from Nokla using Jf app
Ila hiki nilikichukua siku nyingi nimuonyeshe Nyani Ngabu jinsi kilivyo simpo na clear kuliko kile anachotupigs nacho mkwara humu
Anaandikiwaa na Wemaa hilo halina ubishiiii
Nyani kuna sehemu nataka unitafsrie umenipa chenga la macho kule kwenye uzi wako wa young money lol
Hebu mumie naomba kwanza unitafsirie hicho cha boss wa Kifesi!.......Lol
Nadhani wewe una akili timamu, Mimi siandiki kishabiki humu, sina urafiki na super star yeyote, akifanya vizuri anasifiwa akiboronga anaambiwa, jaribu Kufikiria mda mwingine kabla ya Ku post