Mmh! hapa Diamond umetupiga changa la macho

Diamond yupo safi kwenye ngeli,wewe si una mengi basi mi nina kusaga halimpati gundu hata ukiminya mapum.b¥.....KKK.
 
No comment.
.

.
Afu nikukumbushe
hii sredi ulivyo ianzisha (kwa mwenye akili timamu) atajua ni kwaajili ya kumponda domo!
.
Kwahiyo tunavyomponda we kuwa mpole!
.
 
naona KIFESI a.k.a heaven on desert kajipa shavu mwenyewe..tatizo lugha imempitia mbali
 
.

.
Afu nikukumbushe
hii sredi ulivyo ianzisha (kwa mwenye akili timamu) atajua ni kwaajili ya kumponda domo!
.
Kwahiyo tunavyomponda we kuwa mpole!
.

Siyo sredi mkuu ni thread.
 
waliojua kidhungu ukubwan kama akina Nyani Ngabu na Kiranga ndio hupenda kingereza kigumu ili waonekana wanajua sana ki-malkia kumbe weupee

Stay off his long rammer, or face bad karma
Kiranga, JF's Dalai Lama, spewing dharma
I hospitalize weak theories, like Amana
Without the flashy help of a Dolce & Gabana
Rhymes churner, to this desert bringing manna,
Carrying the cross and banner, diction golden like Ghana
With a platinum plaque in a manner, fixing like a spanner
Separating the spammers from the charmers
Oh bummer, I flip winter to summer
With more drama than Obama killing Osama
Diction and grammar, lethal like rays called gamma
This high sea is nothing to til, I kill, you little farmer
 
Last edited by a moderator:
mhhhhhhh ila katika vitu navyotaman ni kuweza kuongea kiingilish kwa ufasaha

Safi binamu, hata Mimi pia kiingereza changu ni cha kawaida sana, natamani siku nikifahamu zaidi (inanilazimu haswa kutokana na kazi zangu)
 
to be honest naiona kabisa handwriting ya wema,mi nahisi awe real tu aandike chake coz kama ana uwezo wa kuandika kiingereza kizuri kama hiki basi kwenye interview za kiingereza hazipaswi kumpiga chenga na asiprefer kutumia kisw wala kuleta coddemixing
 
Mamaeee acha hizo mi nilidhan unataka unitafsirie kule kwa nyani kuna makubwaaa mwanawane halaf vip mbona wanatukatia sana umeme au we upo mtaa wa mavibopa hawakatii

Yani siku hizi wanakata umeme halafu wanarudisha jioni ila leo upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…