Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.No comment.
Hahhhahhhahha ngoja aje akikuandikiaa hapa unaenda na kulazwaa na mi siji kukuonaa
waliojua kidhungu ukubwan kama akina Nyani Ngabu na Kiranga ndio hupenda kingereza kigumu ili waonekana wanajua sana ki-malkia kumbe weupee
waliojua kidhungu ukubwan kama akina Nyani Ngabu na Kiranga ndio hupenda kingereza kigumu ili waonekana wanajua sana ki-malkia kumbe weupee
mhhhhhhh ila katika vitu navyotaman ni kuweza kuongea kiingilish kwa ufasaha
Kwan kile unachoandikaga humu kuongea hujiamini tu au unataka kujua zaidi kama cha kina kirangaa
Napenda niwe competent sa hivi sio kabisaaa....kile cha kawaida chaa kuniwezesha ku communicate tu
Mamaeee acha hizo mi nilidhan unataka unitafsirie kule kwa nyani kuna makubwaaa mwanawane halaf vip mbona wanatukatia sana umeme au we upo mtaa wa mavibopa hawakatii
Yani siku hizi wanakata umeme halafu wanarudisha jioni ila leo upo
Kumbee heri yako sie wengine tunajua cha salam tu