Mmh hawa Jwaneng ni kama Ihefu iliyochangamka, hakuna timu hapo

Mmh hawa Jwaneng ni kama Ihefu iliyochangamka, hakuna timu hapo

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Ni jambo la ajabu Sana timu inayoshiriki michuano mikubwa kama hii inafungwa mabao ya aina moja ndani ya dk 4?

Aina ya namna beki zake zinavyojipanga kucheza mipira ya kona ni kichekesho kingine, Simba huwa wanayo bahati kukutana na aina ya timu za ovyo ovyo kama hizi hatua za mwanzo.

Wala wasijisifu kuwa wamekuwa bora kwenye hii mechi bali wamekutana na mgonjwa aliekuwa anasubili kukata roho, kwa kiwango hiki cha simba leo wanatakiwa wafanye kazi ya ziada kama wanataka kufika mbali kwenye hii michuano la sivyo wakishupaza shingo na kujiona wako bora kwakuwa wameshinda Leo watakuwa wanajichimbia kaburi Lao wenyewe.

Unapokutana na mbovu mwenzako lazima kati yenu lazima apatikane mwenye nafuu ndo kinachotokea leo, Najua kuna wapuuzi watakuja apa kujisifu na kutamba nawapa pole yenu mjipange!
 
Ni jambo la aibu pia timu iliyobebwa kucheza champions league kufungwa home and away sema nini hawa jamaa hii tiketi waliipambania home boy
Waliobebwa ndo hao hao wanawakojolea kila mnapokuktana nao sijui mliwabebaje apo maana amkuchukua kwao ata point moja ya maana ni kichekesho, awa jwaneng unawalinganisha na Rivers? Awa kiwango chao ni sawa na mbeya city, au majimaji ya songea
 
Hao ni kama Utopolo iliyopigwa nje ndani na Rivers United.
Rage akukosea kuwaita mbumbumbu, unawalinganisha awa jwaneng na Rivers? Kwanza fatilia ligi ya botswana na nigeria ndo uje utapike utumbo wako apa, baada ya apo fatilia kila timu kiufundi ikoje, anzia hapo kujenga hoja sio ushabiki oya oya mlionao watu Kama nyie
 
Kwa hiyo ndio uwe kama samaki waavya Dani nje.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Simba uwa wanayo bahati kukutana na aina ya timu za ovyo ovyo kama hizi hatua za mwanzo wala wasijisifu kuwa wamekuwa bora kwenye hii mechi bali wamekutana na mgonjwa aliekuwa anasubili kukata roho.
Tema mate chini boss, hata Nkana kipindi kile 2019 ilikuwa ni timu ya hovyo?
 
Rage akukosea kuwaita mbumbumbu, unawalinganisha awa jwaneng na Rivers? Kwanza fatilia ligi ya botswana na nigeria ndo uje utapike utumbo wako apa, baada ya apo fatilia kila timu kiufundi ikoje, anzia hapo kujenga hoja sio ushabiki oya oya mlionao watu Kama nyie
Utopolo...naona mnaweweseka.
 
Rage akukosea kuwaita mbumbumbu, unawalinganisha awa jwaneng na Rivers? Kwanza fatilia ligi ya botswana na nigeria ndo uje utapike utumbo wako apa, baada ya apo fatilia kila timu kiufundi ikoje, anzia hapo kujenga hoja sio ushabiki oya oya mlionao watu Kama nyie
Mkuu huna pain killers hapo ukameze[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] maumivu yakizidi muone dokta Mshindo Msola
 
Hawa Galaxy ni wachovu wandugu! Sijui wamefikaje hatua hii? Hata kama tumeshinda ila ukweli ni katimu kabovu mno!
 
Alifubgwa barca na liver goli 4 za aina ile ile. Topolo ni topolotu. Ni aibu timu inapigwa nje ndani kimataifa 🤣🤣🤣🤣🤣
Mashudu tu, endeleeni kujifariji mtapokutana na kitu kizito ndo mtashtuka, ukimwamsha alielala utalala wewe, nyie ni timu bora kabisa na mmeonyesha kiwango kikubwa sana kwa timu bora na ngumu ya Botswana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom