Huu sio unafiki wala nini ila hii Simba lazima atapatikana mchawiMlianza kusema Simba Kwa juaneng hatoboi saivi mnasema makundi hatoboi baadae mtasema Robo hatoboi .....uto tushawazoea Na Ramli zenu miaka nenda miaka Rudi.....nyie laleni usingizi mkisubiria wanaume wawabebe Tena mgongoni mwakani
Na wewe Una lolote ni walewale waliokunywa uji wa mgonjwa akafariki, maneno ya kiongozi gani yalikuvimbisha wewe kichwa, auelewi ata sababu ya yanga kuondolewa mapema umebaki kuwa bendera fuata upepo tu, unadandia treni kwa mbele na sidhani Kama ni mwanayanga wewe, unajifanya mwanayanga kumbe ndo ile ile mikia ya pakaMwenzetu kapata wala hatuna jinsi yoyote ya kumsimanga. Tuache wivu usioleta maendeleo.
Sisi tuliibeza Rivers kabla na hata baada ya kutufunga hapa nyumbani!!
Wenzetu wamekwenda kwa kuwaheshimu wapinzani wao hivyo kujizatiti. Sisi maneno ya viongozi wetu huwa yanatuponza na kutuvimbisha vichwa. Na pengine uzoefu wao wa michezo ya misimu iliyopita imewasaidia. Acha nyodo.
Now timu ya simba imejaa wavunja kuni tuJipige kifuani mara 3 kisha sema kwa sauti kubwa Mimi ni Mpumbavu sana.
Wewe tayari umeshaumizwa, kelele za nini. Roho inakuuma wenzio kushinda?Makolo hawataki ukweli
Hapa hakuna timu kabisa, timu kibonde ambao hawana hata physic bado hata kumiliki mpira ni shida kabisa, hii simba wajiandae maumivu huko makundi
Mark my words
Sababu ya Yanga kutolewa Na rivers ni ipi? TuambieNa wewe Una lolote ni walewale waliokunywa uji wa mgonjwa akafariki, maneno ya kiongozi gani yalikuvimbisha wewe kichwa, auelewi ata sababu ya yanga kuondolewa mapema umebaki kuwa bendera fuata upepo tu, unadandia treni kwa mbele na sidhani Kama ni mwanayanga wewe, unajifanya mwanayanga kumbe ndo ile ile mikia ya paka
Wewe tayari umeshaumizwa, kelele za nini. Roho inakuuma wenzio kushinda?
Kushinda nini? Yaani hii timu iliyojaa wavunja kuni, sio muda mrefu Ataanza kutafutwa msalitiWewe tayari umeshaumizwa, kelele za nini. Roho inakuuma wenzio kushinda?
Subirini kuwapokea wageni mabingwa wa mapokezi.Kushinda nini? Yaani hii timu iliyojaa wavunja kuni, sio muda mrefu Ataanza kutafutwa msaliti
Sawa timu ya wavunja kuniSubirini kuwapokea wageni mabingwa wa mapokezi.
Ukweli wenyewe wanaujua, na wamshukuru Mungu leo wamekutana na wale wakata miwa wa BotswanaMikia kujiona mna kikosi kizuri kwa kuwafunga hao Makhirikhiri ni sawa na kujipiga middle finger kwenye 'mnduku' na kunusa harufu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akuna sababu ya kuieleza tena kwakuwa ilishasemwa Mara kibao otherwise una lako jambo,Sababu ya Yanga kutolewa Na rivers ni ipi? Tuambie
Kipimo Chao kilikua yanga[emoji123][emoji172][emoji169] na Dodoma Jiji,pale ndio usajili wa makapi yao ulionekana,km hao kina kanoute hawaonekani kwa game km ya leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787],mtani huna timu,mwisho wa aibu unakuja jiandae[emoji85]Ukweli wenyewe wanaujua, na wamshukuru Mungu leo wamekutana na wale wakata miwa wa Botswana
Wewe ndiye mpumbavu kabisa nimelinganisha Jwaneng na Utopolo,uwe unaelewa umbwa weweRage akukosea kuwaita mbumbumbu, unawalinganisha awa jwaneng na Rivers? Kwanza fatilia ligi ya botswana na nigeria ndo uje utapike utumbo wako apa, baada ya apo fatilia kila timu kiufundi ikoje, anzia hapo kujenga hoja sio ushabiki oya oya mlionao watu Kama nyie
Acheni waendelee kujifariji, preaseson mwezi mzima kambini wanajiandaa lakini mpira wanaocheza ni kichekesho, walikuwa wanaisimanga yanga lakini ukiangalia mpira unaopigwa na wanajangwani kwa sasa ukalinganisha na hao waliokaa camp kwa mda wa kutosha ni mbingu na ardhi, sasa hivi wamegeukia mipira mirefu unavyokuja mpira unarudishwa ivyo ivyo watajua uko kina boko na kagere🤣🤣🤣🤣Timu hujui imecheza formation
Timu haina pattern
Timu haina CHEMISTRY
Timu wavunja kuni ni wengi kuliko wakina maestro
Alafu hii timu ndio ilikaa kambi miezi minne
Vipimo vyao vilikuwa ni wale Mazembe, Yanga na Biashara United na zote walipigwa na sio hawa wala urojo wa kitswanaKipimo Chao kilikua yanga[emoji123][emoji172][emoji169] na Dodoma Jiji,pale ndio usajili wa makapi yao ulionekana,km hao kina kanoute hawaonekani kwa game km ya leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787],mtani huna timu,mwisho wa aibu unakuja jiandae[emoji85]
Akuna sababu ya kuieleza tena kwakuwa ilishasemwa Mara kibao otherwise una lako jambo,Sababu ya Yanga kutolewa Na rivers ni ipi? Tuambie