Mmh hawa Jwaneng ni kama Ihefu iliyochangamka, hakuna timu hapo

Wewe unayejua sababu ya Yanga kuondolewa mapema tueleze mbali na Kiwango duni.
 
Waliobebwa ndo hao hao wanawakojolea kila mnapokuktana nao sijui mliwabebaje apo maana amkuchukua kwao ata point moja ya maana ni kichekesho, awa jwaneng unawalinganisha na Rivers? Awa kiwango chao ni sawa na mbeya city, au majimaji ya songea
Kigoma mlimkojolea nani mkuu?
 
Hawa Galaxy ni wachovu wandugu! Sijui wamefikaje hatua hii? Hata kama tumeshinda ila ukweli ni katimu kabovu mno!
Wabovu kwa kua wanacheza na miamba ya soka Africa mashariki na kati simba sc. Ingekua wanacheza na utopolo.ungesikia ile club ni kubwa ndio maana.tukafungwa ina mpka uwanja wake yenyewe ipo juu sana. 🤣🤣🤣 mtapata tabu saana
 
M
Misukule ya mo kwenye ubora wake, nendeni ayo makundi lakini mkae mkijua yatawakuta mazito na kwakuwa mzezeta ya mo mko wengi humu ndo mtapoteana kabisa maana ukweli unawaumiza sana, mda ni mwalimu mzuri sana
Mazezeta ni simba au manyani ya utopoloni kule yanako danganywa kuwa ropo ropo atawapa makombe🤣🤣🤣🤣🤣
 
Muache kuambina huko utopwinyo ukweli mnaruka ruka tu
Misukule ya mo kwenye ubora wake, nendeni ayo makundi lakini mkae mkijua yatawakuta mazito na kwakuwa mzezeta ya mo mko wengi humu ndo mtapoteana kabisa maana ukweli unawaumiza sana, mda ni mwalimu mzuri sana
 
Nimeamini utopolo ni wajinga kumbe:-

Wydad casablanca kapigwa 1-0 ugenini

Al Ahly kadroo 1-1ugenini

Rivers united ( waliowatoa gongowazi) wamedroo 1-1nyumbani

Tp mazembe alidroo 0-0 ugenini

Zanaco fc ( ya kapumbu) waliopiga utopolo siku ya misukule wamepigwa 3-0 ugenini na El Merrikh iliyopigwa na Simba 3-0 kwa mkapa

Mpaka sasa ni Simba sc ndiyo timu pekee iliyopata ushindi wa magoli mengi ugenini.

Ulitaka wacheze kukufurahisha wewe ilihali tayari walikuwa na goli mbili za away?

CAF CL ni league ya kutumia akili sana, ukikurupuka unaoshwa nje ndani kama kilichowakuta misukule.
 
Ila simba anaenda makundi pamoja na mechi kukosa mvuto
 
Kumbuka mwaka jana simba ilianzia nigeria ikapita, yanga mwaka huu imeanzia nigeria chali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…