Seth saint JF-Expert Member Joined Oct 27, 2020 Posts 1,115 Reaction score 2,464 Oct 18, 2021 #121 Kurunzi said: Umeshasema kubebwa sasa kaa kimya ulitegemea anaye bebwa atafanya maajabu Click to expand... Sawa! bora umeliona hilo wenzio wanajiita machampion wako huko Songea wanacheza mbunge cup
Kurunzi said: Umeshasema kubebwa sasa kaa kimya ulitegemea anaye bebwa atafanya maajabu Click to expand... Sawa! bora umeliona hilo wenzio wanajiita machampion wako huko Songea wanacheza mbunge cup
K kemondaro 57 Member Joined Mar 29, 2021 Posts 46 Reaction score 46 Oct 18, 2021 #122 Seth saint said: Ni jambo la aibu pia timu iliyobebwa kucheza champions league kufungwa home and away sema nini hawa jamaa hii tiketi waliipambania home boy Click to expand... Yaani UTOPOLO bana wamebakia na mipasho tu, Rivers amesanda kwa Al Hilal kwao kenge Hawa.
Seth saint said: Ni jambo la aibu pia timu iliyobebwa kucheza champions league kufungwa home and away sema nini hawa jamaa hii tiketi waliipambania home boy Click to expand... Yaani UTOPOLO bana wamebakia na mipasho tu, Rivers amesanda kwa Al Hilal kwao kenge Hawa.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Oct 18, 2021 #123 Mtanzanias said: Ni jambo la ajabu Sana timu inayoshiriki michuano mikubwa kama hii inafungwa mabao ya aina moja ndani ya dk 4? Click to expand... .....
Mtanzanias said: Ni jambo la ajabu Sana timu inayoshiriki michuano mikubwa kama hii inafungwa mabao ya aina moja ndani ya dk 4? Click to expand... .....