mmh! mnataka SOURCE? Sio kila story ina Source!

mmh! mnataka SOURCE? Sio kila story ina Source!

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
806
Waheshimiwa mmekua mkidai mpewe source kwa kila story. Source ni mhm bt kuna story hazina source, imagine natoa story abt my girlfriend, source niitoe wap?
 
sasa umeuliza swali alafu umejijibu mwenyewe, sio kila story ije na source mfano ni huo uliotoa lakini kuna nyingine mzee source ni muhimu kuavoid story za kwenye kahawa
 
source haiwezi kukosekana hata iwe vipi...
Na kama imekutokea mwenyewe, hiyo ndiyo itakuwa source ya uhakika kuliko hata ile unayoipata kutoka kwengine
 
Ndio habari yenyewe hyo, watu wanaomba sana source mkubwa, story nyingine twazijua km zilivyo, source n sisi. si unajua mkwara wa magreat thinker!
 
mnataka source hadi story niwasimuliazo ya gf wangu?
 
aah! haaa haaa! Utanikimbizia huko Jukwaa la siasa, kule ni porojo kwa sana!
 
aaaaiiiiiiiiiii!!!

badae wajameni!!!
 
susy sio kila story lazima iwe na source, mambo mengine yapo km yalivyo!
 
Waheshimiwa mmekua mkidai mpewe source kwa kila story. Source ni mhm bt kuna story hazina source, imagine natoa story abt my girlfriend, source niitoe wap?

mtu pekee hapa JF ambaye anaruhusiwa kutuletea habari bila source ni Bujibuji tu
 
Mie kuna watu fulani
wananiudhi kitu cha kijinga
Anauliza source kuna watu
tangu wajue neno source
imekuwa kosa .. ndo maana
nawaambie waingie google
source ya kila kitu..
asanteni.
 
Humphnicky nimekuona ukidai source kwenye taarifa ya kupigwa risasi mwenyekiti wa ccm rungwe hukooo jukwaa la siasa teh! teh!
 
Back
Top Bottom