Mmiliki halali ni Joseph Kusaga na alianza zamani sana sisi tumezaliwa tumekuta Kusaga anapiga disco kwenye party mbali mbali na inaonyesha jamaa alianza wakati yupo mzizima secondary na ikumbukwe aliita entertainment hizo Mawingu na ilikua disco la nguvu. Rugay by then alikua anasoma Marekani so alikua akirudi analeta ngoma za majuu na ukizingatia by then nyimbo nyingi zilikua za kimamtoni so Mawingu wakawa wapo hot sn. CLOUDS: Cool Loverble Outrageous Unique Dynamic Sound ilianza around 2000s hapo ndipo ikagawiwa redio, prime na Mawingu studio ikaitwa 69 records studio. Director ni Kusaga na Manager ni Rugay. I end up here and i stand to be corrected.