Mmiliki halali wa Clouds FM na Primetime Promotions

Mmiliki halali wa Clouds FM na Primetime Promotions

why do you want to know about clouds? the owner and all the **** that comes with it?? small mind always discuss people rabish!! find your own and move on fool
 
jamani naomba kuuliza hapa kati ya ruge mutahaba na kusaga nani ni mmiliki halali wa clouds fm?? maana hapa mimi huwa nachanganya je na yule kusaga aliyekufa ni nani? je na Prime time promotion mmiliki wake halali ni nani wakuu naomba msaada hapa kwa hili tafadhali

Hadithi yako inatufundisha nini
 
Clouds ishauzwa; sasa hivi Kusaga anaimanage na minor shares.. Mmiliki kwa sasa na major shareholder ni Yusuf Manji na aliinunua kwa kisu kirefu ndio maana Kusaga anafanya mambo makubwa zenj, kimbiji na sehem kibao.

Chukua HIYO

22:28 26th May 2012.
 
Mmiliki halali ni Joseph Kusaga na alianza zamani sana sisi tumezaliwa tumekuta Kusaga anapiga disco kwenye party mbali mbali na inaonyesha jamaa alianza wakati yupo mzizima secondary na ikumbukwe aliita entertainment hizo Mawingu na ilikua disco la nguvu. Rugay by then alikua anasoma Marekani so alikua akirudi analeta ngoma za majuu na ukizingatia by then nyimbo nyingi zilikua za kimamtoni so Mawingu wakawa wapo hot sn. CLOUDS: Cool Loverble Outrageous Unique Dynamic Sound ilianza around 2000s hapo ndipo ikagawiwa redio, prime na Mawingu studio ikaitwa 69 records studio. Director ni Kusaga na Manager ni Rugay. I end up here and i stand to be corrected.
 
Back
Top Bottom