👍Sisi Yanga hatuna shida hata wakitaka mechi zetu zichezwe asubuhi tupo tayari na tutashinda tu!
Na lengo lilikuwa kuikomoa Yanga Yetuhaitaji elimu kufahamu mchezo huo This is TFF this is BMT wote wana manjimonia
Ndio lilikuwa lengo lao hiloNahisi Kama yanga ilitaka kuhujumiwa vile
Ila wamegonga mwamba
Kujenga Viwanja ni changamoto ndogo zaidi kuliko kujenga TFF inayojitambua, isiyo na mgongano wa wazi wa kimaslahi na isiyotumika kuhujumu timu moja kwa maslahi ya timu nyengine.umuhimu wa kumiliki uwanja kwa kila timu ndipo unapo anzia hapo...
kataeni kuwa vichwa vya Wenda wazimu kama tulivyo aminishwa kuwa soka na timu zetu ni kichwa cha mwenda wazimu...
Tanzania INA eneo kubwa sana la ardhi chukueni maeneo mjenge viwanja hata kwa ubia na makampuni, wahisani nk...
msiwe mazuzu na vichwa vya Wenda wazimu...
TFF ni mzigo unao chosha... hawana malengo ya kuona mbali zaidi ya kapu la fuweza...
Ni nani mmiliki wa Uwanja wa Taifa?umuhimu wa kumiliki uwanja kwa kila timu ndipo unapo anzia hapo...