Mmiliki Uwanja wa Taifa jijini Dar akubali kuwasha taa! Mechi za usiku za Ligi kuu zarudishwa muda wa awali

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
1.jpg

Pia, soma Wamiliki wa Uwanja wa Taifa wagoma kuwasha taa, sasa mechi zote kuchezwa saa 10 jioni - JamiiForums
 
umuhimu wa kumiliki uwanja kwa kila timu ndipo unapo anzia hapo...

kataeni kuwa vichwa vya Wenda wazimu kama tulivyo aminishwa kuwa soka na timu zetu ni kichwa cha mwenda wazimu...

Tanzania INA eneo kubwa sana la ardhi chukueni maeneo mjenge viwanja hata kwa ubia na makampuni, wahisani nk...

msiwe mazuzu na vichwa vya Wenda wazimu...

TFF ni mzigo unao chosha... hawana malengo ya kuona mbali zaidi ya kapu la fuweza...
 
Tanzania mechi za usiku hazina tija
 
Mmiliki Wa uwanja!! Mimi hapo tu mdau pamenikunisha kichwa , kumbe huo uwanja haukujengwa na kodi zetu?
 
umuhimu wa kumiliki uwanja kwa kila timu ndipo unapo anzia hapo...

kataeni kuwa vichwa vya Wenda wazimu kama tulivyo aminishwa kuwa soka na timu zetu ni kichwa cha mwenda wazimu...

Tanzania INA eneo kubwa sana la ardhi chukueni maeneo mjenge viwanja hata kwa ubia na makampuni, wahisani nk...

msiwe mazuzu na vichwa vya Wenda wazimu...

TFF ni mzigo unao chosha... hawana malengo ya kuona mbali zaidi ya kapu la fuweza...
Kujenga Viwanja ni changamoto ndogo zaidi kuliko kujenga TFF inayojitambua, isiyo na mgongano wa wazi wa kimaslahi na isiyotumika kuhujumu timu moja kwa maslahi ya timu nyengine.
 
umuhimu wa kumiliki uwanja kwa kila timu ndipo unapo anzia hapo...

kataeni kuwa vichwa vya Wenda wazimu kama tulivyo aminishwa kuwa soka na timu zetu ni kichwa cha mwenda wazimu...

Tanzania INA eneo kubwa sana la ardhi chukueni maeneo mjenge viwanja hata kwa ubia na makampuni, wahisani nk...

msiwe mazuzu na vichwa vya Wenda wazimu...

TFF ni mzigo unao chosha... hawana malengo ya kuona mbali zaidi ya kapu la fuweza...
Ni nani mmiliki wa Uwanja wa Taifa?
 
Back
Top Bottom