Willard Jonnes
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 361
- 753
Hata JF wanajipambanua tu ila hawana sifa ya kuwa mtandao wa kujamii, Badala yake ni Chombo cha habari hichi mana wana edit zana contents za members wanashindwa kuacha kama kilivoTabia ya JF hii tushaikemea sana ila wanajifanya hawasikii