Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee ni ndumakuwili kweli, there is a time you were all over telling us how advanced the Tanzanian air market is and how the Kenyan one is closed. Case in point was how Fastjet was progressing and that Kenya was denying it the license to operate the Kenyan route. You thought that if Fastej was granted the license to fly to Nairobi it would smoke out KQ. Well, Fastjet was allowed to fly to Nairobi and it never lasted more than two months. Sasa hekaya unaleta zingineSerikali inaona mbali kwa jinsi ilivyokaa kuna uwezekano KQ na SAA wanamtumia. Serikali inabidi ijihakikishie! Mpango wa KQ kuingia aviation market yetu kama kipindi cha PW SAA iliponunua ATCL lazma uzuiwe kwa nguvu zoote! Mbona nyie mliikataa Fastjet?
"Hamieni Kenya" sio "Amieni Kenya". Wewe Mtanzania mbona mimi Mkenya nakufunza kiswahili ilhali mnazungumza kiswahili usiku na mchana?Amieni Kenya
Yaani siku za kwanza kwanza hapa Jamii Fforums nilikua napata hasira kila nikiona Watanzania wanapata wivu na chuki dhidi yetu, wakikejeli kila nzuri kwetu, kwamba kila tukileta habari nzuri za Kenya watakesha usiku wote wakitokwa povu kwa hasira, lakini baada ya muda mrefu nimekuja kuwaelewa, ndio asili yao maana hata wao wenyewe baina yao hawatakiani mema.
Kwao suala la kukwamishana ni jambo la kawaida sana.....
Serikali inaona mbali kwa jinsi ilivyokaa kuna uwezekano KQ na SAA wanamtumia. Serikali inabidi ijihakikishie! Mpango wa KQ kuingia aviation market yetu kama kipindi cha PW SAA iliponunua ATCL lazma uzuiwe kwa nguvu zoote! Mbona nyie mliikataa Fastjet?
Kuna nyakati nilifikiri Fastjet ndio national carrier ya Tanzania. ATCL inapumulia mashine Geza Ulole huwezi musikia popote. I love it... mzee alijipiga knockout sucker Punch.
Ndio extortion.Naona wameshikilia hata ndege za Fastjet zisitoke nje ya nchi, yaani TCAA wana kibali cha mahakama kuizuia ndege ya Fastjet isiondoke? - JamiiForums
Ndio extortion.Naona wameshikilia hata ndege za Fastjet zisitoke nje ya nchi, yaani TCAA wana kibali cha mahakama kuizuia ndege ya Fastjet isiondoke? - JamiiForums
Right point, huo ndiyo mwendo wa sasa lipa nikupeNdio extortion.