FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,585
- 2,152
Nchi gani Hiyo Ambayo Haya Mambo hayapo? Marekani tu Kipindi cha Pablo Escobar anaingiza Madawa ya Kulevya Marekani mbona Walisota.Nani kasema ukiwa CAPITALISM unaruhusiwa kuhujumu uchumi, ufisadi, utekaji na sasa hivi ufiraji ,mambo hayo hatuyaoni nchi ambako mfumo wa ubepari umeanza
Marekani serikali iko mstari wa mbele kupigania maslahi ya nchi zidi ya walowezi, Tanzania serikali ndio hiko mstari wa mbele kuibia raia na kujiwekea sheria na mifumo wasishitakiwe wakitoka madarakani....Nchi gani Hiyo Ambayo Haya Mambo hayapo? Marekani tu Kipindi cha Pablo Escobar anaingiza Madawa ya Kulevya Marekani mbona Walisota.
Hakuna Nchi ya Kibepari isiyokuwa na Ufisadi na Makundi. Marekani ni moja wapo, Wanateswa na Mexico mpaka Trump akajenga Ukuta ... Wa-mexico mafia wanaingiza Vitu haram sana marekani
Na katika Huu mchezo lazima UFISADI,UHUJUMU UCHUMI,UFIRAJI Vimepo kwa wingi sana
Whatever the case. Nadhani Swala linabaki pale pale Kwamba Hakuna Nchi ya CAPITALISM isiyokuwa na Haya Mambo, so Tanzania si ya Kwanza na Wala haitakuwa ya Mwisho , Ubepari haujawahi Acha Masikini wakawa Na Raha hata Siku Moja Maana. wao ndio PRODUCTS za Ubepari kuchumaMarekani serikali iko mstari wa mbele kupigania maslahi ya nchi zidi ya walowezi, Tanzania serikali ndio hiko mstari wa mbele kuibia raia na kujiwekea sheria na mifumo wasishitakiwe wakitoka madarakani....
Wanaopeleka madawa ya kukevya Marekani sio wamarekani wenyewe bali Raia wa kigeni hasa Mexico na nchi za ukanda huo... lakini sio leo wala jana serikali ya marekani imekamata wauzaji na wengine kuwafunga maisha.... kama unataka kuelewa Marekani inavyojali raia wake, peleka ushubwada pale... wale ubepari wao ni wa kuchuma nje au kuiba nje na kuleta nchini kwao wakati Tanzania vigogo wanakimbiza Mali na familia zao ughaibuni
Yule wa musoga alaaniwe yeye na vizazi vyake vyote kwa kuiuza nchi yetu kwa washenzy wa kigeniAliyekuwa Mmiliki wa ITV, Radio One and Capital TV na Capital Radio aliwai kuwataja mafisadi 10 nchini, huku ROSTAM AZIZI akishika kwenye 5 bora ya mafisadi nchini. Hii ni video enzi za kikwete kabla ya Magufuli hajawai Rais... na Hawa mafisadi ndio kundi mtandao alilokuwa anazungumzia Humphrey Polepole, hivyo basi maneno ya Humphrey Polepole msiyachukulie kwa mzaha. Ukisikiliza vizuri utagundua hawa mafisadi wengi wao majina yao ni watu wa asili ya nchi za kigeni. Hawana uchungu na nchi, wanashirikiana na watanzania wachache wenye ushawishi au nguvu kuchuma mali za taifa
View attachment 3459134
Hapa Jambo sio umasikini au utajiri, hapa Jambo ni ufisadi..... nani alikuambia ubepari ni lazima uwe na ufisadi, unaweza kuwa Bepari kwa kufuata misingi sahihi ya sheria na matajiri wakabaki kuwa na ufisadi, ufisadi ni tamaa tu ya kuiba....Whatever the case. Nadhani Swala linabaki pale pale Kwamba Hakuna Nchi ya CAPITALISM isiyokuwa na Haya Mambo, so Tanzania si ya Kwanza na Wala haitakuwa ya Mwisho , Ubepari haujawahi Acha Masikini wakawa Na Raha hata Siku Moja Maana. wao ndio PRODUCTS za Ubepari kuchuma
Kikubwa Tafuta Pesa na Hakikisha Unakuwa nazo Nyingi sana... Ili Uendane na Kasi ya Ubepari uliopo
Hii Vita Mwisho wa Siku upande Utakaoshinda. ni Ule Wenye Nguvu
Point yangu ni Hivi.. HAKUNA Nchi yenye Ubepari isiyokuwa na UFISADI...Hapa Jambo sio umasikini au utajiri, hapa Jambo ni ufisadi..... nani alikuambia ubepari ni lazima uwe na ufisadi, unaweza kuwa Bepari kwa kufuata misingi sahihi ya sheria na matajiri wakabaki kuwa na ufisadi, ufisadi ni tamaa tu ya kuiba....
Hawa ndyo king makers and king dethroners , Russia wanaitwa OLIGARCHS (putin aliwamaliza kwa kuwaliwafilisi, kuwatia jela na wengine kuwaua hata walipokimbila uhamishoni).Naombeni kujua wanamitandao maana yake ni nini na kazi yao ni nini hasa? ( ccm mtandao)
Aisee!Rostam Aziz 2013 net worth 1B USD.
2025 probably ndo mtu mwenye ukwasi zaidi Tanzania.
Kazi ya mama ni kuwafuga, Inasikitisha!