Mmiliki wa JamiiForums awajibu wanaosema anatumiwa na mabeberu, baada ya kuitwa ikulu Marekani

Mmiliki wa JamiiForums awajibu wanaosema anatumiwa na mabeberu, baada ya kuitwa ikulu Marekani

Maxence Melo Mubyazi, founder of Jamii Forums in Tanzania, receives the 2019 International Press Freedom Award.



Source: CPJ
 
Tunamshukuru kwa yote Bw. Maxenxe Melo, ila ukumbuke hata UK USA na sehemu zingine mnazofikiria kuna demokrasia ya ukweli siyo kweli, mifano iko kibao ila twafumba macho na masikio, ila tumpe kudos Bw, Melo...
 
Bobwe2, kwa sasa ni ngumu sana kumwaga damu usijulikane hata kama polisi wameuchuna sisi wanamitandao tutakuumbua tu asante kwa teknolojia hii.
 
Heshima na tuzo za kimataifa anazopata Max kwa sasa zinatokana na juhudi zake za kukabiliana na uongozi wa kidhalimu wa Meko.

JF imekuwa ndiyo platform pekee yenye uthubutu wa kumsema huyu dikteta na serikali yake isiyoheshimu haki za binadamu.

Jumuiya ya kimataifa inatambua kwamba vyombo vya habari na waandishi wote hapa nchini wamezibwa midomo isipokuwa JF pekee ambayo kwa sasa ndiyo tumaini pekee la watanzania katika kuhabarishwa.

Siku za Meko zinahesabika. Hana ubavu wa kuikwepa the Hague aslani. We just wait & see.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Max aelewe tu kwamba sio kila kitu ni cha kusema kwa masilahi mapana ya nchi.

Hata yeye hapo ameonyesha mfano mzuri sana aliposhindwa kuongelea mambo walioongea na makama wa Rais wa marekani.

Tunaposema uhuru wa habari sio kila takataka inayokutana nayo unatia kwenye chombo cha habari.. ndio maana kuna wahariri.

Kwa ubaya zaidi waafrica tunaabudu wazungu kuliko jamii zetu wenyewe.

Tukl tayari kuangamiza ama kudharirisha jamii zetu kilimradi mzungu ameweka mpunga sehemu.
 
Ala kumbe JF hadi wazungu wanaisoma, nillijua inaishia hapa hapa bongo movie. Hongera sana JF.
 
Ala kumbe JF hadi wazungu wanaisoma, nillijua inaishia hapa hapa bongo movie. Hongera sana JF.
Dunia nzima wanasoma,pia source ya habari,ni kidhihirisho huwezi mzuia samaki kufumba mdomo
 
Bottom line is NORTH ATLANTIC has never and will never trully give a f@@@@@@ damn about US (sisi). I have the cheek to repeat, mcheza kwao hutuzwa! How do they treat Black people huko kwao? They have worst records of ills perpetrated against my brethren, Africans and their descendants. It is on record. Ati leo hii ndo tunawapigia goti kwaissues zetu? Haifai. Na hawa wakoloni weusi nao pia nawatukania vizazi vyao. Inaitwabetween a hard place and a rock. Ukigusa huku na kule shida tupu. Angalau kwa kutafuta LOCAL solutions labda tutavuka.
 
max mello ni alama bora ya wazalendo wenye fikra huru tunaomba Mungu aendelee kutuinulia watu kama hawa mpaka ugandamizaji na sheria mbovu zotakavyo rekebishwa
tunaungna na wote wanaotetea haki za watanzania popote walipo #viva uhuru wa maoni ,#viva max mello
 
Kongole Kaka Maxence Melo!

Kikubwa ni kuwa dhumuni la JF linaendelezwa "Kutoa nafasi kwa watu wote kutoa na kupata taarifa kwa uhuru, bila kudhuru wengine". Tuzo na utambuzi (recognition) ni matokeo ya kuhakikisha dhumuni hili. Wapo wengi watakao kupongeza na kukushutumu, huo ndio ubinadamu wetu. Yapokee, uyachambue na usiklize sauti ya Mungu ndani yako kabla ya kila maamuzi.

Asante sana kwa juhudi zako. Mungu pekee ndio atakukirimu stahili yako, ambayo yaweza kuwa kubwa zaidi ya ufikiri wa mwanadamu.
 
Maneno Meier,
Umeandika kwa huzuni kweli....
Shukuru umepata hata pa kutolea Maoni yako ambako ni humu humu JF jamaa alikopata Tuzo huko mbele.
 
Urafiki wa Melo na Tundu Lisu unatia mashaka sana, huwezi kuwa na urafiki na mawakala wa mabeberu halafu na wewe usiwe wakala, lisu anajulikana ni wakala wa mabeberu
Thibitisha.acha propaganda.
 
Maxence Melo Mubyazi, founder of Jamii Forums in Tanzania, receives the 2019 International Press Freedom Award.



Source: CPJ
Mello angekuwa mmoja wao kwa tukio hilo vyombo vyote vya habari nchi hii vingerindima kwa vichwa vya habari kurasa za mwanzo.
 
Back
Top Bottom