state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,510
He is smart and confident. I really appreciate the guy. Maxence MeloMaxence Melo Mubyazi, founder of Jamii Forums in Tanzania, receives the 2019 International Press Freedom Award.
Source: CPJ
Anasubiria ya lumumbaHuyo Musiba anayesifiwa na watawala kuwa ndiye mwandishi bora na mwenye uzalendo wa hali ya juu, mbona hatujamsikia naye kupokea zawadi hiyo??
Dunia nzima wanasoma,pia source ya habari,ni kidhihirisho huwezi mzuia samaki kufumba mdomoAla kumbe JF hadi wazungu wanaisoma, nillijua inaishia hapa hapa bongo movie. Hongera sana JF.
Thibitisha.acha propaganda.Urafiki wa Melo na Tundu Lisu unatia mashaka sana, huwezi kuwa na urafiki na mawakala wa mabeberu halafu na wewe usiwe wakala, lisu anajulikana ni wakala wa mabeberu
Mello angekuwa mmoja wao kwa tukio hilo vyombo vyote vya habari nchi hii vingerindima kwa vichwa vya habari kurasa za mwanzo.Maxence Melo Mubyazi, founder of Jamii Forums in Tanzania, receives the 2019 International Press Freedom Award.
Source: CPJ
Mzungu ana unafiki wake pia mkuu, sema wa mtu mweusi ndio wa wazi usio na aibu kabisaMzungu hanaga unafiki kama Ngozi Nyeusi. Mbaya zaidi sisi tunaye Mnafiki nambari moja.
Anavimbishiana nao eti, Kitakachompata atajuuta.