mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Dec 18, 2019 #41 Laki Si Pesa said: Urafiki wa Melo na Tundu Lisu unatia mashaka sana, huwezi kuwa na urafiki na mawakala wa mabeberu halafu na wewe usiwe wakala, lisu anajulikana ni wakala wa mabeberu Click to expand... Usitumie jf basi huu mtandao wa mabeberu Ova Sent using Jamii Forums mobile app
Laki Si Pesa said: Urafiki wa Melo na Tundu Lisu unatia mashaka sana, huwezi kuwa na urafiki na mawakala wa mabeberu halafu na wewe usiwe wakala, lisu anajulikana ni wakala wa mabeberu Click to expand... Usitumie jf basi huu mtandao wa mabeberu Ova Sent using Jamii Forums mobile app
Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,039 Reaction score 6,253 Dec 18, 2019 #42 Kila la kheri kwako max na wafanyakazi wote wa jamii forums Sent using Jamii Forums mobile app