Mmiliki wa Jengo lililoanguka na kuua Dar abadilishiwa Mashtaka!

Mmiliki wa Jengo lililoanguka na kuua Dar abadilishiwa Mashtaka!

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
DPP AMEMFUTIA YA KUUA BILA KUKUSUDIA MMILIKI WA JENGO LILIOANGUKA MTAA WA Indira Gandhi Jijini Dar, RAZA HUSSEIN RAZA AMBAPO KESI HIYO ILIKUWA IMEWAPA DHAMANA NA BADALA YAKE AMEMFUNGULIA KESI MPYA YA MAUAJI ya kukusudia YA WATU 27 NA WASHITAKIWA WENZIE 11 akiwemo mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Grabriel Fuimwe.


KISHERIA KESI YA MAUAJI HAINA DHAMANA NA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU HAINA MAMLAKA YA KUISIKILIZA. HAKIMU DEVOTA KISOKA KAAMURU WAPELEKWE GEREZANI.
 
Shikamoo dpp feleshi. Hata kama watashinda kesi watakaa jela si chini ya miaka 6 ili iwe fundisho kwa wengine waache ubabaishaji.
 
Huyu itakuwa alimjibu dpp kwa kiburi teh
 
Mimi namsikitikia mzee wa watu, FUIME. Alilazimishwa kutoka ofisini "akijiandaa kustaafu" anaishia kesi ya mauaji. Nadhani Makanyagio Mahan.ga anachekelea sasa!
 
Back
Top Bottom