Udart
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 398
- 586
SALUTE.pole Wana jangwani Kwa kupoteza game ya Jana leo nimekuja na swali huenda likawa ni la kipuuzi Kwa baadhi ya watu ila ningependa kujua binafsi Huwa napenda kufuatiria au kusikiliza interview za watu wenye pesa nyingi kuanzia akina mo dewji mbaka mbele huko Kwa akina Jeff bezos nk
Sasa nikija Kwa huyu MMILIKI wa face book (meta) Huwa sikuelewi kuanzia body language gesture nk yaani utakuta jamaa anaongea dk 1 bila kupepesa macho wakati kiuhalisia BINADAMU yoyote ni sekunde tu jicho linacheza sasa huyu jamaa jicho ni kama linaganda pia hata uso wake ni kama jamaa amechongwa Yani hana ile nature ya kibinadamu wajuvi wa mambo mnisaidie hapa.