Mmiliki wa M-bet ni nani?

Mmiliki wa M-bet ni nani?

Sio kweli that y Kuna udhibiti Kuna pesa ya mwisho kustake n ya mwisho kuwithdraw. Bila hivyo mhuni anaweza kununua mechi moja akaweka mpunga mrefu akafilisi kampuni ,,jifunze vizuri mkuu
Nimesoma maelezo yako hapa, wewe unaongelea kampuni za ulaya sio hapa. Hapa wanaobet wengi ni 500 na 1000, ambao washindi wa ela nyingi huwa ni wachache sana. Kwanza niambie kisheria Tanzania unahitaji kuweka deposit kiasi gani kufungua kampuni ya kubet!?.. halafu nakupa mfano, Kuna kampuni moja inaitwa galsport, ni kubwa tu ipo mpaka Uganda, Zambia, Sudan etc, inadaiwa mmiliki ni muisrael, wao wanadai wanakulipa hadi milioni 200 ukishinda. Wana karibu miaka mitano lakini waliokula hiyo mil. 200 mpaka leo hawajazidi watatu. Na Kila siku wanakusanya ela za wajingawajinga. Fuatilia kampuni za kubet zinavyojiendesha, huwa zinawalipa watu hela zilizokusanya Kwa wengine. Hakuna mmiliki wa kampuni ya kamali anayepataga hasara ya kudumu. Mkimshinda wiki hii ujue anawalipa ela alizokusanya kwenu wiki iliyopita.
 
Mwijaku anakwambia Wasafi Bet sio ya Diamond🤣🤣🤣 hata yeye diamond kaajiriwa sawa na Mwijaku na Baba Levo.
Jidanganye kwanza ili upewe leseni Kuna mtaji anzilishi unayotakiwa kuwa nao kampuni nyingi za beti Tanzania ni mawakala wa kampuni kubwa za kubeti ndiposa ujue kuanzisha betting sio sawa na kuuza maandazi
 
Kuna jamaa anaenezeza uvumi kuwa mmiliki wa kampuni ya M-bet ni Mtanzania, kwanza nimwambie tu mtaji wa kuanzisha kampuni ya kubeti sio wakitoto ambao watanzania wanaweza kumudu. Sembuse Mtanzania amiliki kampuni ya beti inayofanya kazi Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia, na Kongo?

Au anachukulia wasafi beti? Wasafi beti kwa taarifa yako no partnership ya kampuni ya Odibet yakenya (my intention kumiliki kampuni ya betting sio Jambo rahisi kuwa kila mtu anaweza kufanya hii biashara inahitaji pesa ndefu) kufungua kiduka Cha kubeti pekee inahitaji sio chini ya MILIONI 20 ambapo utapata gawio la faida ya 40% mpaka 50

Anyway kampuni ya M-bet group inamilikiwa na Dhiresh Kaba na ndipo wakongwe wa betting utasikia wanatamka mhindi mhindi
mimi apa Mmilik nn shida??
 
Back
Top Bottom