TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

TANZIA Mmiliki wa Mabasi ya Marangu Coach afariki dunia Hospitali ya Aga Khan

Kuteka soko kaskazini?!unacheza wewe! KLM, Extra, BM, Tahmeed umewaweka wap? Mtu Ana gari 2 juzi Kati ndo kaongeza 2 nyingine.
Shida sio gari nyingi! Je, hizo chache huduma zake zikoje?

Marangu ziko express na full ac bila utapeli wa kuzimiana ac njiani! Kama wapuuzi wengine wachache kama happy nation.

Gari safi kama ndege!
 
Kama alipata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka chini ya 23 je?

Kuna jamaa mmoja now ni Daktari ana umri wa miaka 34 binti yake mkubwa ana miaka 18 ndo ametimiza mwaka huu na amemaliza form mwaka jana na jamaa alimpata binti yake akiwa kidato cha 3 baada ya kumpa mimba mtoto wa jirani yao na ndo huyo huyo amemuoa na sasa wana watoto wanne.
Mkuu mtu wa 1977 ana miaka 43, mbona kama huyo bint ni mkubwa tena umeandika alikua anaolewa anyway.

Apumzike panapo stahili..!
 
Shida sio gari nyingi! Je, hizo chache huduma zake zikoje?

Marangu ziko express na full ac bila utapeli wa kuzimiana ac njiani! Kama wapuuzi wengine wachache kama happy nation.

Gari safi kama ndege!
Acha kufananisha ndege na mkusanyiko wa mabati/makopo yaliyopigwa Rangi na injini (pamoja) unaoendeshwa na deiwaka asiyepitia mafunzo stahiki. Inaonekana hujawahi kupanda ndege.
 
Mungu amponye Huyo mama maana hata Sijui kama anajua kuwa mumewe amefariki.
Mungu amfanyie wepesi aangalie watoto
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_2020-06-03-23-27-24-039_com.facebook.katana.jpg
    Screenshot_2020-06-03-23-27-24-039_com.facebook.katana.jpg
    59 KB · Views: 3
Back
Top Bottom