Mmiliki wa Mabasi ya SATCO, uliowakabidhi gari ya Kahama-Dodoma wanakuharibia biashaara

kajekudya

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
2,466
Reaction score
4,916
Gari ni Yutong nzuri, gari inasimama kila kituo, inachukua hadi abiria wa buku 2. Wanaenda wanavyotaka, wanaweza wakasimama tu bila sababu ya msingi. Kahama tumetoka saa 12 ndo tunaingia Dodoma hapa.

Hakuna abiria ametoka Kahama na hii gari anaweza kuipanda tena hata kwa bure.
 
Gari ni yangu ndiyo lakin vijana wanatakiwa wajaze mafuta na wajilipe posho na hiyo ni gari ya public huwezi kuzuia kusimama, kama inakukera kusimama unaweza ukalipia 1.6M tukupeleke kahama peke yako bila kusimama sehem yoyote.
Usiwaite mbwa vjana wenzako wanao tafuta rizki ya halali
 
Basi we Ni bo----ya. Wenzako Frester na Kisibo wanatoka hapo wamejaza. Hiyo Gari watu hawapandi unabaki kuokoteza watu wa buku mbili mbili, wakati chombo Ni mpya kabisa. Chombo inapita hadi minadani jamani.

Inashusha na kupakia kila eneo Kama mchomoko😂😂😂😂😂😂😂😂.
Nakwambia hao wa buku mbili mbili nao wataikimbia kwa sababu itafika sehemu na wao wataona inawachelewesha.

Yaani Kuna Lori tumetoka nalo Sekenke haki ya mungu tumefika nalo Dodoma eti. Hata Noa zimetuacha njiani. Jing--a Sana Hawa jamaa. Hiyo Gari wanaishushia hadhi kabisa Hawa mbu--++++zi
 
Mkuu mbona wenzake nao wanafanya biashara na wanawahi. Halafu huu upuuzi wa kusema eti nunua yako. Unapoamua kutoa huduma basi itoe kwa ufanisi. Wewe unajitangaza Kama mtoa huduma, halafu unatuambia Kama hutaki acha. Wewe unaona zimo kweli!
Hiyo ni gari ya biashara mkuu..ukitaka kuwahi,nunua yako t
 
Gari ni Yutong nzuri, gari inasimama kila kituo, inachukua hadi abiria wa buku 2. Wanaenda wanavyotaka, wanaweza wakasimama tu bila sababu ya msingi. Kahama tumetoka saa 12 ndo tunaingia Dodoma hapa.

Hakuna abiria ametoka Kahama na hii gari anaweza kuipanda tena hata kwa bure.

Buku 2 ndiyo zinalipa gharama tena zaidi kuliko hata nauli yako tokea mwanzo wa safari hadi mwisho
 
Gari ni Yutong nzuri, gari inasimama kila kituo, inachukua hadi abiria wa buku 2. Wanaenda wanavyotaka, wanaweza wakasimama tu bila sababu ya msingi. Kahama tumetoka saa 12 ndo tunaingia Dodoma hapa.

Hakuna abiria ametoka Kahama na hii gari anaweza kuipanda tena hata kwa bure.
Abiria hakuna mdau usilalamike.....

Naijua iyo hali maana nilipitia usimamizi wa mabasi miaka ile
 
Basi we Ni bo----ya. Wenzako Frester na Kisibo wanatoka hapo wamejaza. Hiyo Gari watu hawapandi unabaki kuokoteza watu wa buku mbili mbili, wakati chombo Ni mpya kabisa. Chombo inapita hadi minadani jamani. Inashusha na kupakia kila eneo Kama mchomoko😂😂😂😂😂😂😂😂.
Nakwambia hao wa buku mbili mbili nao wataikimbia kwa sababu itafika sehemu na wao wataona inawachelewesha.
Yaani Kuna Lori tumetoka nalo Sekenke haki ya mungu tumefika nalo Dodoma eti. Hata Noa zimetuacha njiani. Jing--a Sana Hawa jamaa. Hiyo Gari wanaishushia hadhi kabisa Hawa mbu--++++zi
Kwa haraka haraka hapa wewe ndio boya maana umeshindwa kumuelewa mtoa mada...
 
Gari ni Yutong nzuri, gari inasimama kila kituo, inachukua hadi abiria wa buku 2. Wanaenda wanavyotaka, wanaweza wakasimama tu bila sababu ya msingi. Kahama tumetoka saa 12 ndo tunaingia Dodoma hapa.

Hakuna abiria ametoka Kahama na hii gari anaweza kuipanda tena hata kwa bure.
Nna kawaida 1
nadadisi kwa wahusika kujua chombo gani inajali mda

Nikishajua ndo nakata tiket.
 
Gari ni yangu ndiyo lakin vijana wanatakiwa wajaze mafuta na wajilipe posho na hiyo ni gari ya public huwezi kuzuia kusimama, kama inakukera kusimama unaweza ukalipia 1.6M tukupeleke kahama peke yako bila kusimama sehem yoyote.
Usiwaite mbwa vjana wenzako wanao tafuta rizki ya halali
Huwezi kuwa mmiliki halali wa hayo magari
Kwanza kichwani kwako hakuna kitu kbsa kbsa
 
Back
Top Bottom