Mmiliki wa Mabasi ya SATCO, uliowakabidhi gari ya Kahama-Dodoma wanakuharibia biashaara

Buku 2 ndiyo zinalipa gharama tena zaidi kuliko hata nauli yako tokea mwanzo wa safari hadi mwisho
Duu, Kama ni hivo basi Shabibi, ABC n.k wanapata hasara, maana wao mkidhapanca wananyoka
 
Nawatahadhrisha na wale wa Mwanza -Dar, kuna gari wanaipamba Sana luxury Scania injili nyuma inaitwa Kureed hunters,usiijaribu Hata Kwa nusu Nauli
 
Nawatahadhrisha na wale wa Mwanza -Dar, kuna gari wanaipamba Sana luxury Scania injili nyuma inaitwa Kureed hunters,usiijaribu Hata Kwa nusu Nauli
inawah kuchemsha au inashida gan
 
Satco wajinga wale wana michezo ya kuuza siti moja kwa abiria wawili
 
Inakera kweli kweli yaani.... Kibaya zaidi mtu unakata tiketi unapanda unasubili lijae likijaa ndo mnaanza kusimama simama yaani upumbavu balaa.inatia hadira saaaaaaana
 
Nimeona video insta imepelekwa kigoma mamaeee lile vumbi alilotimua si mchezo mpaka mchukua video alishindwa kuona mbele.....sijui ni kibondo pale hakuna lami
Ile video ni njia ya Mpanda. Inaenda kote kote..Mpanda au Kigoma. Kuna ile CUW nayo iko vizuri.
 
Inakera kweli kweli yaani.... Kibaya zaidi mtu unakata tiketi unapanda unasubili lijae likijaa ndo mnaanza kusimama simama yaani upumbavu balaa.inatia hadira saaaaaaana
Noma sana
 
Hapana boss. Vyuma vingine mbona vinajaa kuanzia kahama. Sema hawa hi gari wameshaitengezea image mbaya kwa raia Kama ilivyotokea kwangu. So hhawaipandi, matokeo yake haiwezi kujaza ndo waanajikuta wanakusanya watu wa buku mbili mwili
Abiria hakuna mdau usilalamike.....

Naijua iyo hali maana nilipitia usimamizi wa mabasi miaka ile
 
Nawatahadhrisha na wale wa Mwanza -Dar, kuna gari wanaipamba Sana luxury Scania injili nyuma inaitwa Kureed hunters,usiijaribu Hata Kwa nusu Nauli
Isharudi barabarani ile iliyopata ajali.....ila lile basi sio jipya kabisa lazima tu liwe na majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…