Kala kama dawa ya libido
Sifa zitamuuaUkimwangalia unajua hali huo ugali ila pozi za fb tu hizo.
Anakitangaza chakula hicho hadi uko kwa kina Trump..!Watu bana!
Si anakula chakula tu hapo..
Sasa lipi la ajabu?
Ukimwangalia unajua hali huo ugali ila pozi za fb tu hizo.
Sifa zitamuua
Kiki ili wanaume wa mikoani wampende[emoji12]...kwa hiyo anatafuta kiki...😀
Kiki ili wanaume wa mikoani wampende[emoji12]
Ndio, kwani we shida yako nini? Get busyHii habari nayo ya kuifungulia Uzi?
Its up to you lakini ujumbe umefika.Kipi cha ajabu sasa?au na Mbongo akienda State ivi akala Pizza basi nayo iwe habari duh utumwa wa akili utaishi milele Africa kati ya habari ambayo imenikera na hii ni moja wapo maana uyo ndezi kala ugali na samaki kama ambavyo mimi nikisogea kwao nakula ambavyo home hua navikosa...Russia nimegonga vitu vigumu sana sishangai wao wakija wakanywa Konyagi au gongo.