Mmiliki wa mtandao wa facebook Mark Zuckerberg ala Ugali kwa samaki

Mmiliki wa mtandao wa facebook Mark Zuckerberg ala Ugali kwa samaki

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
16,054
Reaction score
11,568
Markzuckerberg ala ugali na samaki

MARK+PICHA.jpg

Mimi ni nani nisile Ugali kwa samaki,
 
Hili suala la huyu jamaa kula ugali linafanywa kuwa ishu kuuuuuubwa wakat kawaida tu kwan ugali kitu gani bhana?
 
Watu bana!

Si anakula chakula tu hapo..

Sasa lipi la ajabu?
 
Duh, sasa mtu anakula cjakula nayo ni big news, aiseeeh!
 
Itabidi ugali niuwekee patent,
anaetaka kuuza ugali ulaya mpaka a franchise kwangu
 
Watu bana!

Si anakula chakula tu hapo..

Sasa lipi la ajabu?
Anakitangaza chakula hicho hadi uko kwa kina Trump..!

Ikiwezekana nao waanze kukitumia baada ya kumuona kijana wao akikitumia kwa raha mustarehe.

Hivi hata wanakifahamu kweli??
Sababu tunaskiaga mahindi huko ni kwa ajiri ya chakula cha mifugo.
 
Kipi cha ajabu sasa?au na Mbongo akienda State ivi akala Pizza basi nayo iwe habari duh utumwa wa akili utaishi milele Africa kati ya habari ambayo imenikera na hii ni moja wapo maana uyo ndezi kala ugali na samaki kama ambavyo mimi nikisogea kwao nakula ambavyo home hua navikosa...Russia nimegonga vitu vigumu sana sishangai wao wakija wakanywa Konyagi au gongo.
 
Ugali na mboga vimetamanisha tho.
 
Hii habari nayo ya kuifungulia Uzi?
 
Kipi cha ajabu sasa?au na Mbongo akienda State ivi akala Pizza basi nayo iwe habari duh utumwa wa akili utaishi milele Africa kati ya habari ambayo imenikera na hii ni moja wapo maana uyo ndezi kala ugali na samaki kama ambavyo mimi nikisogea kwao nakula ambavyo home hua navikosa...Russia nimegonga vitu vigumu sana sishangai wao wakija wakanywa Konyagi au gongo.
Its up to you lakini ujumbe umefika.
 
Back
Top Bottom