TANZIA Mmiliki wa Peacock hotel, Joseph Mfugale afariki dunia

TANZIA Mmiliki wa Peacock hotel, Joseph Mfugale afariki dunia

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,970
Joseph Mfugale ambaye alikuwa mmiliki mwenza wa Peacock hoteli amefariki dunia leo asubuhi.

========

Mmiliki wa hoteli ya Peacock, Joseph Mfugale amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa ndugu za Mfugale aliyetajwa kuwa msemaji wa familia, Expedito Mfugale alipoulizwa kuhusu taarifa hizo alisema hawezi kuzungumzia.

Hata hivyo, mmoja wa ndugu zake ambaye hakutaka kutajwa jina lake gazetini kwa kuwa si msemaji wa familia, anasema Mfugale amefariki le Julai 31 asubuhi na msiba uko nyumbani kwake Kibamba Dar es Salaam.

“Ni kweli kaka amefariki leo asubuhi. Alikuwa anaumwa, muda mrefu, lakini swali kwamba alikuwa anaumwa nini ni la kifamilia,” alisema ndugu huyo.

Mfugale ni miongoni mwa wamiliki wa hoteli wazawa aliyepata mafanikio katika biashara hiyo, akifungua hotel Dar es Salaam na nyingine mkoani Iringa.
 
Poleni familia ya Mfugale wa Peacock

Toka maktaba ya mtandaoni:

30 Mar 2010

Africa Entrepreneurship: Joseph and Damasi Mfugale.

jay corcoran
The CBS MBAs meet with the Dar es Salaam entrepreneurs, Joseph and Damasi Mfugale.

2017
Mzee Joseph Mfugale na management yake wakielezea brand Peacock

Dar-es-Salaam, Tanzania

Mahojiano na Mzee Joseph Mfugale; Toka fundi seremala mpaka kumiliki Peacock Hotel​

Mzee Joseph Mfugale began his career as a carpenter in 1967. Although his formal schooling ended after the sixth grade, he went on to run two dry-goods stores, which qualified him for a $30,000 loan from the Tanzanian National Bank of Commerce.

In 1992, Mfugale opened the 27-room Peacock Hotel. In 2006, he self-financed and opened 66 additional rooms and in 2007, Mfugale secured a $2 million loan from the East Africa Development Bank to build an additional 75 luxury suites, a conference center and a spa, Ebony FM Radio/Tv Iringa.

Working with his son, Damasi, Mfugale also secured from the government the operating lease for the Millennium Hotel, an upscale hotel on the outskirts of the Dar es Salaam center. This new property is the Mfugales' first step toward branding the Peacock Hotel as a quality hotel chain.

As part of their company's growth plan, the Mfugales' next step is to develop a luxury hotel and resort on beachfront property on the Kigamboni peninsula near Dar es Salaam. The Mfugales purchased the Kigamboni plot from the government for $100,000. If they don't begin construction by August 2009, the government can exercise its right to take back the land. The Mfugales have also targeted two other areas for hotels: Iringa, southwest from Dar es Salaam, and Arusha, a safari hot spot near Kilimanjaro.

Damasi Mfugale, who earned his MBA from the University of Lausanne in Switzerland and worked for the Omni Hotel in North Carolina and the Savoy in London, plans to move the Peacock Hotel brand into its next growth phase before his father retires
Source : Mahojiano na Mzee Joseph Mfugale; Toka fundi seremali mpaka kumiliki Peacock Hotel - live
 
Screenshot_2021-07-31-19-41-22-1.png

Mmiliki wa hoteli ya Peacock, Joseph Mfugale amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa ndugu za Mfugale aliyetajwa kuwa msemaji wa familia, Expedito Mfugale alipoulizwa kuhusu taarifa hizo alisema hawezi kuzungumzia.

Hata hivyo, mmoja wa ndugu zake ambaye hakutaka kutajwa jina lake gazetini kwa kuwa si msemaji wa familia, anasema Mfugale amefariki le Julai 31 asubuhi na msiba uko nyumbani kwake Kibamba Dar es Salaam.

“Ni kweli kaka amefariki leo asubuhi. Alikuwa anaumwa, muda mrefu, lakini swali kwamba alikuwa anaumwa nini ni la kifamilia,” alisema ndugu huyo.

Mfugale ni miongoni mwa wamiliki wa hoteli wazawa aliyepata mafanikio katika biashara hiyo, akifungua hotel Dar es Salaam na nyingine mkoani Iringa
 
Apumzike kwa Amani
Mwanga wa milele umuangazie e bwana

Ana undugu na mwendazake Patrick Mfugale?
 
Maisha mafupi sana aisee, pumzika kwa amani mzee j.mfugale
 
Apumzike kwa amani, poleni wanafamilia pamoja na jamaa wa karibu kwa msiba huu mzito
 
Back
Top Bottom