Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Evaristo na Vitus kwa msiba wa baba yenu.
Rip Mfugale.
Ni nduguApumzike kwa Amani
Mwanga wa milele umuangazie e bwana
Ana undugu na mwendazake Patrick Mfugale?
Ndio bwashee walikuwa madarasa ya chini lakini, sema walikuwa watu poa sana!View attachment 1875546
Mwamba alikua mtu poa sana. Vipi bwashee na hao kina Vitus ulisoma nao pia Highland Secondary? ?😂😂
Kipo wapi kinaitwajeNdio maana kituo chake cha redio hakifanyi matangazo tangu jana.
Inaitwa EBON FM IPO IRINGA MJINI. Inasikika nyanda zote za juu kusini.Kipo wapi kinaitwaje
Hilo nalo Neno. Hazina ya mbinguni inawekwa ujiwa hapahapa duniani.Maisha ya dunia ni ya kupita ni heri ujiwekee hazina mbinguni
Diabetes and blood pressure, plus covid-19What is happening to our Milionaires?
Utamaliza hela zako tu piga mbususu, piga bia.Hilo nalo Neno. Hazina ya mbinguni inawekwa ujiwa hapahapa duniani.
Saidia wahitaji.
Toa fungu la 10
Ishi vizuri na watu.
Period!!!
Ukiyajua maisha na kusudi la kuwepo duniani ni nn utoangaika na duniani hali wwe ni mpangaji.Hilo nalo Neno. Hazina ya mbinguni inawekwa ujiwa hapahapa duniani.
Saidia wahitaji.
Toa fungu la 10
Ishi vizuri na watu.
Period!!!