TANZIA Mmiliki wa Peacock hotel, Joseph Mfugale afariki dunia

Mbona wazee matajiri wa kizungu hawafi kizembe kama hawa wetu wa kiafrika? Ona mzee kama Warren Buffet, anadunda tu na life. Ila hawa matajiri wetu wakifika miaka 60 tu hapo bas muda wowote anasepa..nini kifanyike? Ni life style mbovu tunayoishi sisi waafrika ndio chanzo cha yote haya? Au ndio life expectancy yetu..

R.I.P
 
Hilo nalo Neno. Hazina ya mbinguni inawekwa ujiwa hapahapa duniani.

Saidia wahitaji.
Toa fungu la 10
Ishi vizuri na watu.

Period!!!
Utamaliza hela zako tu piga mbususu, piga bia.

Maisha yenyewe haya haya tu
 
Hilo nalo Neno. Hazina ya mbinguni inawekwa ujiwa hapahapa duniani.

Saidia wahitaji.
Toa fungu la 10
Ishi vizuri na watu.

Period!!!
Ukiyajua maisha na kusudi la kuwepo duniani ni nn utoangaika na duniani hali wwe ni mpangaji.
Unakuta mtu anauwa watu,umiza watu,iba kodi za wananchi, halafu anakufa anaviacha nini hii sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…