JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Anko kuwa makini sana, maisha yamebadilika sana kwenye mahusiano.R.I.P
Haukijui alichokuwa anapata kwake... U-pisi kali na mapenzi havipo njia moja kabisa.pisi zote hiz mjini mtu anahangaika na hii
Anko kuwa makini sana, maisha yamebadilika sana kwenye mahusiano. Majuzi siku ya Jumanne hapa mtaani kwetu jamaa kamsambaratisha kichwa mke wake kwa jembe...
Bila Shaka Wallace Karia atakuwepo msibaniView attachment 2265768Pumzika kwa amani, na poleni Wana familia
Ni kweli mke alibaki pale kwa mamlaka ya mahakama.Asante Uncle kwa angalizo. Mahusiano ya siku hizi ni changamoto.
Nasikia hao walipelekana hadi mahakamani na mahakama ikaamua waachane ila ndugu sijui wa upande gani wakagoma ndoa kusambaratika mpaka hapo walipouana kwa jembe. Inasikitisha sana.
Ninyi ndio mna kazi ya kubadilisha madem hadi wa rafiki zenu.Zamu yenu inakuja.Mtu anaanza na wewe kwanzaMm huwa sina cha kujifunza ktk matukio kama haya maana sababu za mauaji ni ulimbukeni tu......how come ww let say ukamsomeahe demu, au uumpe mtaji millions of Tsh...? In return of love ......
Mapenzi sio biashara guyz , acheni ulimbukeni wa kujaribu kuwekeza kwa wapenzi wenu .,.mtauua bure na mtaozea jela tu wapuuuzi nyieeee