Mmiliki wa saluni ya kike Sinza adaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake

Mmiliki wa saluni ya kike Sinza adaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake

Me hapa sahivi Day 3 sijatoka ndani. Sema hasira zimeshaisha.

Ila awa watu unawapa kila ulichonacho mwisho wa siku wakishagundua umeyumba, wanakupiga chini kifala tu.

Sishabikii tukio lakini wa kubadirika ni wanawake sio wanaume.
 
Kama humpendi mtu usile pesa yake jamani ya nini umdanganye!??

Tatizo watu wakipendwa huchukulia simple sana hiyo kitu, ila maumivu yake mtu akuua ni dakika moja tu.

Kuna dada nimemshauri anachokifanya sio sahihi ila kanitukana tu, ila scenario ni hizi hizi za kumuacha mtu aliejipinda kwako kwa muda mrefu kwa tamaa ya muda mfupi tu.
Haya nae muda utaongea..
 
dah, shida hii aisee, haya bwana hatujui shida ni nini maana unawezekana zilikuwa style tu za kugongana dada pumzi ikabana jamaa akajua anaisikilizia in very low rpm ili asisikie noise nyingine kumbe ndio anakata..
 
jamaa hakupaswa kukimbia kama kakimbia, ajitetee tu mahakamani yalikuwa mahaba na mpenzi wake huwa utamu ukidhidi anazimiaga na kufa kama 30mins hivi.....sasa kumbe utamu ulidhidi kipimo kapitiliza kabisa mbinguni sio kati ya mbingu na ardhi tena....
 
wasimzike kwanza wamuache kama mwezi hivi, unaweza kukuta tuko "high" filling good to the maximum, karembua macho mpaka yamefunga, the sweet thing take her very very high, she is hanging now...
 
Back
Top Bottom