Mmiliki wa Serval wildlife ni nani?

Habari zenu wakuu.

Naomba kujwa wa mmiliki wa serval wildlife ni serikali au mwekezaji, maana naona gharama zake ni kubwa sana kwenda kutembelea hiki kivutio.

View attachment 2289669View attachment 2289670
Tafuta hela hakuna gharama kubwa hapo kumbuka starehe ni gharama na gharama ya kwanza ni fedha.Endelea kuangalia Safari Channel kwa kupenda bure
 
Niliona azam tv mtangazaji wao mmoja alienda hapo..pako vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…