Mmiliki wa SH AMON

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
wakuu naomba kuuliza je kuna mtu mwenye data kuhusu mmiliki wa sh ammon
Kama kuna mtu ana data atusaidie
 
wako wapi mbona hawafiki?
 
wapo kwenye jam barabarni mkuu...
 
Unataka kujua nini? Ila ndiyo mmiliki wa Landmark Hotels, anaitwa Sauli H. Amon, ni mnyakyusa wa Tukuyu. Nadhani hiyo inakutosha sana unless otherwise!
 
Unataka kujua nini? Ila ndiyo mmiliki wa Landmark Hotels, anaitwa Sauli H. Amon, ni mnyakyusa wa Tukuyu. Nadhani hiyo inakutosha sana unless otherwise!
Mi nilisikia ni msauzi au nilipigwa changa?
Ndio huyo huyo mwenye regency hotel??
 
Unataka kujua nini? Ila ndiyo mmiliki wa Landmark Hotels, anaitwa Sauli H. Amon, ni mnyakyusa wa Tukuyu. Nadhani hiyo inakutosha sana unless otherwise!

Spot on!..., correct..., mwanae wa kwanza ni binti anaitwa sara.., alisoma mzizima then alienda canada ku-graduate..., kati ya watu waliopigana kutajirika bila ufisadi huyu jamaa namkubali..., he is a fighter...,
 
Mnyakusya wa mbeya Tanzania,sina uhakika ana watoto wangap,wala wake,anamiliki landmark hotel at ubungo na kwingineko,
 
Mnyakusya wa mbeya Tanzania,sina uhakika ana watoto wangap,wala wake,anamiliki landmark hotel at ubungo na kwingineko,
so hizo sh amon ziko mpaka south au zimeishia nairobi??
 
kauza unga sana kipindi cha mwinyi!guest zote za pattaya ni zake.vipodozi ni geresha
 
regency hotel sio yake.
wanawake wa mjini watusaidie kuhusu huyu mmiliki wa regency hotel
Kuna kitu nyuma ya pazia tunasikia maybe mtusaidie na nyiny
 
kwani alishapona maana anaonekanaga mgonjwa fulani hvi..
 
nimepata shida kuelewa title ya topic...na nilipokuja kuelewa,na jibu sikua nalo...nashukuru na mm nimemjua!..hapa ndo HOGT
 
regency hotel sio yake.
wanawake wa mjini watusaidie kuhusu huyu mmiliki wa regency hotel
Kuna kitu nyuma ya pazia tunasikia maybe mtusaidie na nyiny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…