Mmiliki wa SH AMON

Mmiliki wa SH AMON

vijana wengi wa mbeya hususan wa tukuyu na kyela walijizolea fedha nyingi kipindi kile wao wakisema nchi imevaa isanja - nchi ikiwa uchi lakini inachukua jani bichi la mgomba na kuvaa kujisetili kipindi cha mchonga/mzee ruhsa. sabuni za geisha, sukari, colgate, chupi nk bidha ambazo zilikuwa hakuna huku. Wengi in return wali perish kwa HIV/AIDs - waliosalia walisonga mbele. No wonder nchi hii mtu akiendelea kauza unga au ni freemason!!!!!!!
 
Sauli pedeshee mutu ya pakeee huyu jamaa ukitaka kujua story zake nenda landmark hotel utaambiwa! Mbeya nzima anajulikana!
 
S. H. Amon kala za uso mjengo wake wa ghorofa nane wa pale Kariakoo (Mtaa wa Kongo na Aggrey).

Kapoteza mjengo kwa kununua kizembe kiwanja cha urithi katika mnada ulioamriwa na Mahakama Kuu.

Alinunua kiwanja hicho mwaka 2001 kwa Tshs. 105,000,000/-. Ishu iliyopelekea kiwanja kuuzwa ilikuwa inamhusu mrithi mmoja kati ya warithi sita. Sasa yeye S.H.A. akafanya uzembe wa kutojiridhisha kuhusu maslahi ya warithi wengine. Kesi kadhaa za kupinga huo uuzwaji zimeunguruma zaidi ya miaka 20 mwaka 2022 Mahakama ya Rufaa (ambayo ndo ngazi ya mwisho kabisa ya Mahakama ikaamua kuwa kiwanja ni mali ya hao warithi. Akaomba marejeo hukumu ya marejeo imetoka April 2022 ikamwaga zege katika kaburi la SHA).
 
Back
Top Bottom