TANZIA Mmiliki wa TANROSE INVESTMENT Dada Rose amefariki Dunia

TANZIA Mmiliki wa TANROSE INVESTMENT Dada Rose amefariki Dunia

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,551
Reaction score
2,153
Mmiliki wa TANROSE INVESTMENT Dada Rose amefariki Dunia... Kwa Wahenga wale 1990es alimiliki maduka ya kukodisha Movies Namanga na Sinza... RIP Dada
IMG-20210115-WA0064.jpg
IMG-20210115-WA0023.jpg
 
Kila siku tunasema kuanzia Dec 2020 idadi ya taarifa za vifo zimekuwa nyingi sana.

Askofu Bagonza - Afya sio mali ya serikali.

Poleni sana ndugu,jamaa na marafiki.
Kwahiyo unataka kusema ukweli kuwa ni second wave au unawaza mengine?
 
Kila siku tunasema kuanzia Dec 2020 idadi ya taarifa za vifo zimekuwa nyingi sana.

Askofu Bagonza - Afya sio mali ya serikali.

Poleni sana ndugu,jamaa na marafiki.
Hivi yule Waziri kutoka nchini China aliyeenda Chato Mkoani Geita hakubakiza kweli Chanjo ya CORONA / COVID-19 ili wengine tunywe na tusife?
 
RIP Dada.

Kila siku tunasema kuanzia Dec 2020 idadi ya taarifa za vifo zimekuwa nyingi sana.

Askofu Bagonza - Afya sio mali ya serikali.

Poleni sana ndugu,jamaa na marafiki.
 
MUULIZENI KABUDI ILE DAWA ALIYOKWENDA NA NDEGE YA JIWE KUCHUKUA KULE ANTANANARIVO IKO WAPI?
 
RIP Dada.

Kabisa BAK kuna kitu hakipo Sawa.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom