Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyetoa taarifa hii siyo mimiAsante sana bwana makanyaga kwa taarifa!
Siyo mimi tafadhaliWachina weka ndani hata miaka 100 watupunguzie Corona ,makanyaga mwacheni tu anatafuta senti zake arudishe.
Kifungu namba 9(2) cha mwaka 2015 cha sheria ipi wanasheria tusaidieni! Au haraka za mwandishiMmiliki wa The Cask Bar Mwanza afikishwa mahakamani, atimua mbio
Watu watatu wakiwemo raia wa kigeni wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuingia nchini na kufanya kazi bila vibali.
Raia hao waliingia nchini na kuanza kufanya kazi bila ya kuwa na vibali kitendo ambacho ni kinyume na taratibu za nchi.
Watuhumiwa hao waliingia nchini kwa msaada wa mmiliki wa Baa maarufu jijini Mwanza ya The CASK iliyopo jengo la Rock City Mall, Joseph Charles Makanyaga.
Raia hao kutoka China wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza jana majira ya saa sita mchana.
Watuhumiwa hao, wamefahamika kwa majina ya Yong Chen na Jang Dewei na Joseph Charles Makanyaga.
Raia hao wa kigeni waliingia nchini kwa lengo la kuja kutembea lakini baada ya kufika walianza kufanya kazi katika kiwanda cha mwenyeji wao bwana Makanyaga.
Kiwanda walichokuwa wakifanya kazi watuhumiwa hao kipo Nyakato jijini Mwanza, kinachozalisha mabomba ya kusambaza maji.
Watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani kwa mjibu wa kifungu cha sheria namba 9 (2) ya mwaka 2015.
Kesi hiyo ilitajwa jana mahakamani hapo, imehairishwa na inatarajiwa kusikilizwa aprili 1 mwaka huu.
Kesi hiyo ipo chini ya hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana, Gwai Sumayi.
Watuhumiwa hao wakiongozwa na Makanyaga, mara baada ya kuachiwa kwa dhamana jana saa kumi jioni walitoka wakikimbia.
Pamoja na kutoka wanakimbia, walifunguliwa mlango wa nyuma na mmoja wa watumishi wa mahakama hiyo kwa lengo la kutokomea bila kupigwa picha na wanahabari.
Licha ya kupita mlango wa nyuma wa mahakama hiyo, bado waliwakuta wanahabari ambao waliendelea kuwapiga picha.
MWISHO
View attachment 1739036
View attachment 1739037
View attachment 1739040
Yale ni makapiKama tunaajiri mpaka wachina basi tupo uchumi wa kati.
Mtoa mada umetia chumvi! Mbona hakuna hata picha moja inayo muonesha huyo Makanyaga akitimua mbio? Picha inamuonesha jamaa akiondoka zake taratibu! Wewe unasema ametimua mbio!!Mmiliki wa The Cask Bar Mwanza afikishwa mahakamani, atimua mbio
Watu watatu wakiwemo raia wa kigeni wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza kwa tuhuma za kuingia nchini na kufanya kazi bila vibali.
Raia hao waliingia nchini na kuanza kufanya kazi bila ya kuwa na vibali kitendo ambacho ni kinyume na taratibu za nchi.
Watuhumiwa hao waliingia nchini kwa msaada wa mmiliki wa Baa maarufu jijini Mwanza ya The CASK iliyopo jengo la Rock City Mall, Joseph Charles Makanyaga.
Raia hao kutoka China wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza jana majira ya saa sita mchana.
Watuhumiwa hao, wamefahamika kwa majina ya Yong Chen na Jang Dewei na Joseph Charles Makanyaga.
Raia hao wa kigeni waliingia nchini kwa lengo la kuja kutembea lakini baada ya kufika walianza kufanya kazi katika kiwanda cha mwenyeji wao bwana Makanyaga.
Kiwanda walichokuwa wakifanya kazi watuhumiwa hao kipo Nyakato jijini Mwanza, kinachozalisha mabomba ya kusambaza maji.
Watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani kwa mjibu wa kifungu cha sheria namba 9 (2) ya mwaka 2015.
Kesi hiyo ilitajwa jana mahakamani hapo, imehairishwa na inatarajiwa kusikilizwa aprili 1 mwaka huu.
Kesi hiyo ipo chini ya hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana, Gwai Sumayi.
Watuhumiwa hao wakiongozwa na Makanyaga, mara baada ya kuachiwa kwa dhamana jana saa kumi jioni walitoka wakikimbia.
Pamoja na kutoka wanakimbia, walifunguliwa mlango wa nyuma na mmoja wa watumishi wa mahakama hiyo kwa lengo la kutokomea bila kupigwa picha na wanahabari.
Licha ya kupita mlango wa nyuma wa mahakama hiyo, bado waliwakuta wanahabari ambao waliendelea kuwapiga picha.
MWISHO
View attachment 1739036
View attachment 1739037
View attachment 1739040
Muda huu hiyo bar ya The Cask inateketea kwa moto…
Imeisha yote aiseeMuda huu hiyo bar ya The Cask inateketea kwa moto…
kimeumana tayari, bar imeteketea vibaya sana usiku wa kuamkia leoKimeumana asipocheza vizuri karata atakua kama mwenzake wa villa park
Inawezekana kukawa na hujuma......tusubiri taarifa za policcm nina uhakika wataingia kwenye uchunguzi japo huwa wanajichunguza na wenyewekimeumana tayari, bar imeteketea vibaya sana usiku wa kuamkia leo
Nimeona kampa pole kwenye page yake
ConfidenceWazungu wakiendaga mahakamani huwa wanavalia suti. Hata kama mtu hajawahi vaa suti siku hiyo atapiga suti na tai. Ile huwa inasaidia nini?
Joe amekaa sana ChinaYale ni makapi
hii huleta kuheshimiana,ndio sababy kubwa wazungu huvaa suti nahakamaniWazungu wakiendaga mahakamani huwa wanavalia suti. Hata kama mtu hajawahi vaa suti siku hiyo atapiga suti na tai. Ile huwa inasaidia nini?
Kama unakesi ya kubaka... Upande wa mlalamikaji wakiprove mshedede uliingia bila idhini hata uvae Suti ya Marehemu mvua ni zile zile...hii huleta kuheshimiana,ndio sababy kubwa wazungu huvaa suti nahakamani
Mvua ziko pale paleKama unakesi ya kubaka... Upande wa mlalamikaji wakiprove mshedede uliingia bila idhini hata uvae Suti ya Marehemu mvua ni zile zile...