KERO Mmiliki ya Frester ya Kahama-Mwanza kama biashara haikulipi waachie wawekezaji serious, huduma zenu mbaya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
8,013
Reaction score
14,263
Mmiliki wa haya mabasi kama hii route ya Mwanza-Kahama haikulipi hebu waachie wawekezaji walio serious na biashara na huduma nzuri.

Shida kubwa ni kutokujali muda wa abiria, kujaza abiria kupita kiasi, mabasi yamechoka, fuatilia nyakati za asubuhi gari zako zinaweza kuondoka 12 kamili na mabasi mengine kama KISIRE yakaondoka 12 na nusu lakini kabla ya kufika Shinyanga, Frester inakuwa ishaachwa nyuma-mnakera.

Fainali ilikuwa jana usiku-basi limekaa Shinyanga kuanzia saa 2 kasoro hadi saa 3 kisa wahudumu wameenda kufuturu.

kufuturu saa nzima?
 
Kama unaona kero panda bus jingine hatukulazimishi upande mabasi haya. Mnatumwa na maadui kuja kutuchafua eeeeeeh. Hamtaweza. Unataka watu wasifuturu ili iweje sasa?
 
Mmiliki wa haya mabasi kama hii route ya Mwanza-Kahama haikulipi hebu waachie wawekezaji walio serious na biashara na huduma nzuri.

Shida kubwa ni kutokujali muda wa abiria, kujaza abiria kupita kiasi, mabasi yamechoka, fuatilia nyakati za asubuhi gari zako zinaweza kuondoka 12 kamili na mabasi mengine kama KISIRE yakaondoka 12 na nusu lakini kabla ya kufika Shinyanga, Frester inakuwa ishaachwa nyuma-mnakera.

Fainali ilikuwa jana usiku-basi limekaa Shinyanga kuanzia saa 2 kasoro hadi saa 3 kisa wahudumu wameenda kufuturu.

kufuturu saa nzima?
Hii ni taarifa? kampuni iko moja?
 
Back
Top Bottom