Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
Hii ni taarifa? kampuni iko moja?Mmiliki wa haya mabasi kama hii route ya Mwanza-Kahama haikulipi hebu waachie wawekezaji walio serious na biashara na huduma nzuri.
Shida kubwa ni kutokujali muda wa abiria, kujaza abiria kupita kiasi, mabasi yamechoka, fuatilia nyakati za asubuhi gari zako zinaweza kuondoka 12 kamili na mabasi mengine kama KISIRE yakaondoka 12 na nusu lakini kabla ya kufika Shinyanga, Frester inakuwa ishaachwa nyuma-mnakera.
Fainali ilikuwa jana usiku-basi limekaa Shinyanga kuanzia saa 2 kasoro hadi saa 3 kisa wahudumu wameenda kufuturu.
kufuturu saa nzima?
kufuturu saa nzima mkuuKama unaona kero panda bus jingine hatukulazimishi upande mabasi haya. Mnatumwa na maadui kuja kutuchafua eeeeeeh. Hamtaweza. Unataka watu wasifuturu ili iweje sasa?
wakati nalipanda kunakuwa hakuna mbadala mkuuKwani wamekulazimisha kupanda?
Tabu inatokwa umeshalipa nauli na safari ishaanzaKwanini kujipa tabu bana.
Yule shemeji amepona mchaniko?Kama unaona kero panda bus jingine hatukulazimishi upande mabasi haya. Mnatumwa na maadui kuja kutuchafua eeeeeeh. Hamtaweza. Unataka watu wasifuturu ili iweje sasa?
next time piga chini si ushawajua.Tabu inatokwa umeshalipa nauli na safari ishaanza
Then vumilia au ahirisha safari ili upande bus unalokuwa nalo huru.wakati nalipanda kunakuwa hakuna mbadala mkuu