Mmmh!! Diamond amelewa Pesa

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Katika show yake huko Kampala Uganda, sikia hicho kibwagizo hapo mana siwezi kukiandika hapa

Sijui ni matusi au ni swag tuu [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hii kwa kweli sio sawa kabisa, halafu tunasema kuwa hawa ndo vioo vya jamii. God help us ikiwa ndo tunategemea watoto kufuata nyayo zao.
 
Alafu plat kimwonekano ni kama bipedal
 
Hii kwa kweli sio sawa kabisa, halafu tunasema kuwa hawa ndo vioo vya jamii. God help us ikiwa ndo tunategemea watoto kufuata nyayo zao.
Diamond is ma fun ila anajisahau sana huyu kijana sababu ya kutukana nn afu ni kwa mashemeji zake au kweli kaachwa maana ....nisiongee sana hila msanii kua kioo cha jamii haina maana anapofanya jambo zuri tuuu jombaaa
 
You have lost me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…