Mmmh!! Diamond amelewa Pesa

Mmmh!! Diamond amelewa Pesa

Mwache alewe masifa kazi anaifanya nzuri
 
48fc7f2885c9c9586ef9df6debaff648.jpg
Mbona Rick Ross kapungua hivi
 
Diamond is ma fun ila anajisahau sana huyu kijana sababu ya kutukana nn afu ni kwa mashemeji zake au kweli kaachwa maana ....nisiongee sana hila msanii kua kioo cha jamii haina maana anapofanya jambo zuri tuuu jombaaa


Sio shabiki wa mond ww sisi mashabiki zake hatuwez ongea pumba kama ivyo
 
nasikia amepiga milioni 400 kwenye iyo show da dogo ametusua sana
 
Kwa kweli ni swali fikirishi maana uliendika kalewa pesa.... Hilo neno sifa sijui nimelitoa wapii tena
Ha ha haa,, usiwaze sana mkuu,inatokea saa zingine [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mbona kama anatukama, au waganda hawajui jamaa anaimba nini eti
 
Kim anasema acheni kumsema diamond wake kabla hajakasirika
 
Back
Top Bottom