mkuu mwenye kuintroduce hii thread kwanza pole,ila naona tatizo si kwamba kazi hakuna,ila unataka kazi dar kama sikosei halafu refa huna na matokeo yake ndo hayo unasota benchi, ht mimi nilipomaliza chuo it was the same nikapigika 1 year akili ikanijia nikapige kokote mikoani, nina field experience ya miaka 3 sasa hata nikienda interview sina presha kama wale ambao hawana kazi kabisa, ujasiriamali si rahisi kama wengine wanavyosema sababu una challange nyingi na kama hauna capital na utayari toka moyoni itakula kwako all the best ila acha mawazo mgando ya kung'ang'ania kazi za dar