tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
nawe ushaliona hili? Nimefatilia sana comments zake, ni miongon mwa watu wanaoiabisha UDSM, sijui alifika pale accidentally?

kaka unahusudu chuo aisee, nahc mashirt na t shirt zako zote umeziweka lebo UDSM (jokes)?
umenigusa mbaya, ushaur wako unanihusu pia.

Mimi ni Engineer lakini nilianza kazi za Sales na sasa niko kwenye Marketing, full siasa hata kuongea nilikua sijui zaidi ya ku deal na mitambo tu lakini sasa najiona kama naongea kupita kiasi hadi nikiingia kwenye Interview, cabinet huwa inaishiwa maswali na kutoa maksi palepale. Hahaha....bongo ni noumar bora upate kile kitakachokupa mkate wako wa kila siku. Kitu muhimu usichague kuanza na position unayoitaka, kama kuna kampuni una itarget, anza hata kama kibarua then onyesha umahili wako ukiwa humo ndani utashangaa utakavyopanda haraka na kufikia lengo lako au nafasi nzuri zaidi kuliko hata nafasi uliyokua ukiiota.

kaka unahusudu chuo aisee, nahc mashirt na t shirt zako zote umeziweka lebo UDSM (jokes)?
acha kuruka ruka, vipi sup unaenda kufanya lini?

ungejua me nko tumain.

acha kuruka ruka, vipi sup unaenda kufanya lini?
unatafuta member eti? Sema unasoma koz gani nikutafutie wenzako, mimi sipo huko.

k2 ngoma tisa hyo mkuu..vp 2takua wote au?
kuaNza kuuza chai??? Mtaji wa kununua sukari uko wapi?, najua unafahamu bei ya sukari ilipo!!! Kuto copy???? Umeme uko wapi?? Kilimo kila mahala climate change watu wote pia wamehamia mabondeni pia wanaharakati wa mazingira wanatisha!!!!!!!kweli kuna ugumu anza hata na kupika chai na kutoa copy utapanda mbele kwa mbele
hapa umenena sana hasa swala swala la mikoani!!! Hii inanikumbusha enzi nilipokuwa naanza kuomba kazi niliandika barua kumi 10 dar, bila majibu nikaanza deal za mkoani mambo ya kawa sawa nika piga mzigo miaka kama miwili nikapata kazi tena nikarudi dar!!! Taabu inakuja pale mtu anapoambiwa dar ni kila kitu, akisahau Dar si chochote kama huna kazi na pesa!!!mkuu mwenye kuintroduce hii thread kwanza pole,ila naona tatizo si kwamba kazi hakuna,ila unataka kazi dar kama sikosei halafu refa huna na matokeo yake ndo hayo unasota benchi, ht mimi nilipomaliza chuo it was the same nikapigika 1 year akili ikanijia nikapige kokote mikoani, nina field experience ya miaka 3 sasa hata nikienda interview sina presha kama wale ambao hawana kazi kabisa, ujasiriamali si rahisi kama wengine wanavyosema sababu una challange nyingi na kama hauna capital na utayari toka moyoni itakula kwako all the best ila acha mawazo mgando ya kung'ang'ania kazi za dar

Kweli kuna ugumu anza hata na kupika chai na kutoa copy utapanda mbele kwa mbele
hapa umenena sana hasa swala swala la mikoani!!! Hii inanikumbusha enzi nilipokuwa naanza kuomba kazi nilandika barua kumi 10 dar, bila majibu nikaanza deal za mkoani mambo ya kawa sawa nika piga mzigo miaka kama miwili nikapata kazi tena nikarudi dar!!! Taabu inakuja pale mtu anapoambiwa dar ni kila kitu akisahau dar si chochot kama huna kazi na pesa!!!mkuu mwenye kuintroduce hii thread kwanza pole,ila naona tatizo si kwamba kazi hakuna,ila unataka kazi dar kama sikosei halafu refa huna na matokeo yake ndo hayo unasota benchi, ht mimi nilipomaliza chuo it was the same nikapigika 1 year akili ikanijia nikapige kokote mikoani, nina field experience ya miaka 3 sasa hata nikienda interview sina presha kama wale ambao hawana kazi kabisa, ujasiriamali si rahisi kama wengine wanavyosema sababu una challange nyingi na kama hauna capital na utayari toka moyoni itakula kwako all the best ila acha mawazo mgando ya kung'ang'ania kazi za dar
Inawezekana GAMBA lake ni la FANI ya UFISADI alilolipata ndani ya chuo cha CCM

gamba lako ni la fani gan na kutoka chuo gan?
Hivi hiki nacho.........ni.................. chuo..!!!!

ungejua me nko tumain.

Hivi hiki nacho.........ni.................. chuo..!!!!

Mi nina miaka 3 pia bana.Nina GPA YA 4.2 ya Udsm ila ukweli ni Chabo si unajua tena mambo yetu yale..Ila mpaka najilaumu kwa nini nilikua napiga chabo maana sina kitu ku-head....Sijapata kazi kwan makampun mengi hayaangalii cheti wala chuo uichosoma..Kit unandugu. Au Pesa..Na experience.