Jibu la hilo swali ni NDIO halafu vile vile ni HAPANA kuna watu wengine wanaingia kwenye ndoa kwasababu ya upendo na utayari walionao hao wahusika wawili kuna wengine wanaingia kwenye ndoa kwasababu anakuwa ana malengo fulani mfano mdogo kuna msichana ambaye namjua yeye alisema wazi kabisa na alikuwa akiwaambia na marafiki zake kwamba "I'm getting married to this guy simply because of his wealth i don't love him that much i only want his money" sasa huu ni mfano mdogo katika ya mifano mingine mingi tu tumekuwa tukiona same trend kwa wanaume siku hizi pia.Waheshimiwa
Na wataalum wote
wa mambo ya mahusiano,mapenzi na urafiki
naombakuuliza ni nini au ni kitu gani
Kinacho mfanya mtu kuoa au kuolewe?
Je ndoa zote ni matokeo ya upendo wa hali ya juu??
Ni hayoo tu
Ps. ..maoni yote yana karibishwa
asanteni
AD
Habari za asubuhi mjukuu umeamka salama kabisa, umeoga, umepiga mswaki, umekunywa chai, umesoma magazeti ya leo asubuhiDigna...........aksante kwa kunichekesha asubuhi.................... dah
AD......... kuna sababu nyingi tu zinazowafanya watu waoe/olewe na hiyo ya upendo wa hali ya juu ni mojawapo ambayo kwa bahati mbaya pamoja na kuwa ni ya muhimu but ni wachache waliobahatika kutunukiwa.
Wengine huoa/olewa kwa sababu either muda umefika
Wengine kwa kuwa marafiki na wenzi wa rika lao wote wameoa/olewa so wanaona na wao hawana budi
Wengine ndugu wanawaforce kuoa/olewa
Wengine wanategeshewa (hasa wanaume) galfriend anabeba mimba so wanazuia mtoto kuzaliwa out of wedlock
Wengine kutokana na ugumu wa maisha (umasikini)
n.k.
So sababu ni nyingi tu AD.
Unataka kuolewa?
Digna...........aksante kwa kunichekesha asubuhi.................... dah
AD......... kuna sababu nyingi tu zinazowafanya watu waoe/olewe na hiyo ya upendo wa hali ya juu ni mojawapo ambayo kwa bahati mbaya pamoja na kuwa ni ya muhimu but ni wachache waliobahatika kutunukiwa.
Wengine huoa/olewa kwa sababu either muda umefika
Wengine kwa kuwa marafiki na wenzi wa rika lao wote wameoa/olewa so wanaona na wao hawana budi
Wengine ndugu wanawaforce kuoa/olewa
Wengine wanategeshewa (hasa wanaume) galfriend anabeba mimba so wanazuia mtoto kuzaliwa out of wedlock
Wengine kutokana na ugumu wa maisha (umasikini)
n.k.
So sababu ni nyingi tu AD.
Unataka kuolewa?
Habari za asubuhi mjukuu umeamka salama kabisa, umeoga, umepiga mswaki, umekunywa chai, umesoma magazeti ya leo asubuhi
Waheshimiwa
Na wataalum wote
wa mambo ya mahusiano,mapenzi na urafiki
naombakuuliza ni nini au ni kitu gani
Kinacho mfanya mtu kuoa au kuolewe?
Je ndoa zote ni matokeo ya upendo wa hali ya juu??
Ni hayoo tu
Ps. ..maoni yote yana karibishwa
asanteni
AD
Ahaaa ahaaa ahaaa Lizzy uchokozi huo asubuhi asubuhi haya naona umenianza mapema leoWe vipi unapaka rangi swali alafu hutoi jibu?
News alert ehh?
Ni maamuzi yanayosukumwa na mapenzi ya kweli kwa baadhi..tamaa ya kuitwa mke/mume wa mtu..msukumo toka kwa ndugu, jamaa na marafiki..umasikini..kulazimika kutokana na mimba ambazo hazikupangwa na wengine hawana hata sababu wanaingia tu!
Home boy unaoa lini aisee???Wengi wanaoa kwa kutimiza wajibu flani kaoa wacha na mm nioe/kuolewa
Mh! Baada ya kuka-emo kwa miaka kadhaa, hata sielewi jibu kwa swali lako, kumbukumbu zimenipotea sababu sizikumbuki.
Ahaaa ahaaa ahaaa Lizzy uchokozi huo asubuhi asubuhi haya naona umenianza mapema leo
Home boy unaoa lini aisee???