mmmhhh NDOA???

Leo nakuweka kitimoto...enhe na wewe unaoa lini?Nna hamu ya kuitwa wifi sijui rhemeji!
Sasa si hadi yule dada yako akubali mimi niko tayari namsubiri yeye tu akubali ombi langu:yield::yield:
 
Hahahshhah lol
Hizo za kuigwa mbona
mie sizijui mpenzi haha
unavituko wewe..

Watu wanafuata mkumbo kila siku mpnz!Alafu sina furaha na wewe kwahiyo naomba nisicheke kabisa kwenye hii thread!
 
Mpwa sasa wewe si una uvumilivu wa hali ya juu hata ukipata mwanamke sample kama ya MARTHA KARUA mbona safi tu wale wanaopenda kukwiba waumee za watu sidhani kama watatia maguu hata kwako halafu nafikiri wapwazz tutakuwa tuna advantage kubwa
 
Mmmhuu!Sasa maombi umeshatuma au nije kukusaidia kuandika barua?
Mbona kila kitu tayari labda kama unataka kunisaidia tuongeze ng'ombe wengine tena kwenye ile mahari niliyoambiwa
 
Daaahh kwa hiyo
unachotaka kusema
hapa ndoa ni upofu
hujui unajiingiza kwenye nini
Mpaka uingie ndo utaona..
Mmmmhhhh
 
To me ndoa ni mpango wa Mungu,na kila kitu hutokea kwa wakati wake!mapenzi ya dhati,mvuto,tamaa,umaskini ni vijisababu tu vinavyofanya mwisho wa siku kufikia ktk ndoa,
Tatizo letu tunakosea kumshirikisha Mungu mwanzo ktk mahusiano na mwisho tunaanza kumlilia Mungu na lawama tele kwann hiki kwann kile,
Wengi wanasema kuolewa ni bahati lkn mm sidhani kama ni bahati,nani kabatika?mwanamke au mwanamme?kwa kipi?wengi wetu tumekuwa tukilazimisha au hata kutoa mifano"bby nimeona movie leo kuna watu wamefunga ndoa wamependeza na cc lini"or bby lini tutaoana while mwenzio hana hata mpango na ww yani kwake ww kwenye kumi bora haupo kabisaaaaaaaaaa,lkn trust me mda na wakati ukifika walaaaaaa hautauliza kila kitu kitaenda kwa uwezo wa Mungu.Its olny God who brings a person frm zero to hero.
 
Daaahh kwa hiyo
unachotaka kusema
hapa ndoa ni upofu
hujui unajiingiza kwenye nini
Mpaka uingie ndo utaona..
Mmmmhhhh
Hapana ndoa sio upofu ni baraka kutoka kwa Mungu ila kutokana na mambo yanayotendwa na baadhi ya wanandoa basi kila mtu akifikiria anaona NDOA NI TANURU LA MOTO lakini kama wewe na mwenza wako mnaelewa na kuheshimiana na katika kila jambo mnamtanguliza Mungu basi hiyo NDOA itakuwa na baraka zake takatifu kikubwa ni kwamba wengi wakiingia kwenye NDOA wanajisahau na wengine wanaota mapembe na kujiona ni bora kuliko mwenzake na kuanza kudharauliana
 
Hahahahahahahah
LiZZY NA TF
nawasoma tu
mnanichekesha sana daaahh
ningekuwa kwenye
Mtandao mkubwammmhhhh
 
Sasa huyo baba mkwe wako ni mgambo ndo maana nilitaka kujua kama mgambo nae ni mwanajeshi.
Amepandishwa cheo kutoka MGAMBO sasa hivi amekuwa KOPLO halafu si unajua KOPLO wasivyochezewa na mtu
 
hiyo ya upendo ni mojawapo
Wengine hupenda kuoa/kuolewa kwa kufwata maagizo ya vitabu vitakatifu vya Mungu
wengine hupenda kuoa/kuolewa kwa sifa hata kama hakuna mapenzi watu waone

Daaahh hiyo
ya kuolewa bila mapenzi
si hatari tu hapo mpendwa...
 


mkuu nasubiri nikaimu ndoa yako nitakuwa na jibu zuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…