Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Daahh
sante sana my dear
daahh umenichekesha eti
nataka kuolewa mmmhhh
mmhh mwenzangu mie kuolewa
Daahhh hiyo kitu naogopa
mie mwanaume aki propose na mwacha
tayari wawili mmhhh
Huyu Lizzy huyu leo naona yuko na mimi tu wewe si unamjua lolHahahahahahahah
LiZZY NA TF
nawasoma tu
mnanichekesha sana daaahh
ningekuwa kwenye
Mtandao mkubwammmhhhh
Amepandishwa cheo kutoka MGAMBO sasa hivi amekuwa KOPLO halafu si unajua KOPLO wasivyochezewa na mtu
Lol! Halafu cha kushangaza huyu Koplo ni mshikaji kweli naomba siku tu asije akanigeuka itabidi nirudi tena JKT kwa ajili ya mafunzo ya ukakamavuHahahaha angalia mpwa usije chezea kipigo cha mbwa mwizi Teamo aliwahi rukishwa kichura pale Changarawe.
Usiogope kuolewa. Pitia hicho kikombe ukiwa na imani utafanikiwa.
Kama kuna aliyekukwaza basi hesabu kama ni tukio peke na siyo tukio kawaida.
Mimi nilichoona hadi sasa ni kujitayarisha kwa lolote lakini nikiweka milango wazi
na kuombea mema.
Ndoa ni kitu kizuri. Wanaoingia wakitegemea raha tu bila karaha huishia kutaabika maana karaha inapowagusa
hawachelewi kuruka nje.
Lizzy atakuwa anakulalamikia kuhusu hela ya chai haujampa leo asubuhiDaahhh
Nini tena kulikoni mpenzi
Embu nitumie ka PM
Unidokezee
Kidocho..
Huyu Lizzy huyu leo naona yuko na mimi tu wewe si unamjua lol
Mi naoa uzeeni nikioa tu nimejipiga kitanzi...nitakuwa naonana vp na nyie wapwa
Huku na huku naoa mke kama Lucy Kibaki nyie wapwa sijui kama mtakuwa mnakanyaga home achilia mbali mm manyanyaso nitakayo kuwa nayapata lakini umri ukiwa umekwenda aaah navumilia tu. Kwa sasa damu bado inachemka nahitaji kupata tuzo ya kuwa na watoto wengi.
Ahadi hujatimiza my dear! Back to topic...sare za harusi rangi gani nidesign mshomo?Daahhh
Nini tena kulikoni mpenzi
Embu nitumie ka PM
Unidokezee
Kidocho..
Lol! Halafu cha kushangaza huyu Koplo ni mshikaji kweli naomba siku tu asije akanigeuka itabidi nirudi tena JKT kwa ajili ya mafunzo ya ukakamavu
Kuna PHASE 2 kwahiyo usiwe na wasiwasiNajuta kwanini niliolewa........................
Umekaimu Ndoa ya mtu?
Amen Amen Amen AmenIli ndoa iwe nzuri, yenye amani na upendo inatakiwa ijengwe kwenye misingi ya mambo mengi (inategemeana na ninyi wenyewe) lakini muhimu zaidi ni mapenzi mliyonayo kati yenu ninyi watu wawili na dini .:love:
1-Kutokana na Imani ya Dini tunafunga ndoa kwa vile tumeambiwa kuwa tendo la ndoa kabla ya ndoa ni dhambi, hivyo ni kama vile tunafunga ndoa ili kungonoana kihalali (usininukuu), hapa inawezekana kukawa na mapenzi au matamanio.
2-Kutokana na Imani hizo za Dini pia tunafunga ndoa ili kujenga familia bora inawezekana kusiwe na mapenzi.
3-Tunafunga ndoa ili kuwa na heshima mbele ya jamii (Africa zaidi) au kuondoa mkosi, hapa tutafunga ndoa bila mapenzi.
4-Tunafunga ndoa kwa vile tunalazimika kufanya hivyo kutokana umri, hapa vilevile mapenzi hakuna.
5-Tunafunga ndoa kwa vile tumeelewana kuwa kwenye uhusiano na kugundua tunapendana na kutaka kuishi maisha yetu yote pamoja (Kisasa).
6-Tunafunga ndoa kwa vile wazazi wanataka ufanye hivyo, hapa utafunga ndoa na yeyote atakaejitokeza bila mapenzi, nasikitika kusema tena kuwa hapa mapenzi hayapo.
7-Tunafunga ndoa kwa ajili ya kupata sifa, umeoa/olewa na mtu kutoka kabila/nchi fulani, mtoto wa fulani, mzuri, maarufu n.k. mapenzi hakuna.
8-Tunafunga ndoa kwa vile marafiki zetu wote wamefanya hivyo na wewe unahisi kuwa nio pekee umebaki bila mume/mke, hakuna mapenzi.
9-Tunafunga ndoa ili kupata msaidizi, iwe ni kupikiwa au kujikimu kutokana na ugumu wa maisha,
Usiogope kuolewa. Pitia hicho kikombe ukiwa na imani utafanikiwa.
Kama kuna aliyekukwaza basi hesabu kama ni tukio peke na siyo tukio kawaida.
Mimi nilichoona hadi sasa ni kujitayarisha kwa lolote lakini nikiweka milango wazi
na kuombea mema.
Ndoa ni kitu kizuri. Wanaoingia wakitegemea raha tu bila karaha huishia kutaabika maana karaha inapowagusa
hawachelewi kuruka nje.
Naweza kusaidia ku-suggest rangiAhadi hujatimiza my dear! Back to topic...sare za harusi rangi gani nidesign mshomo?
DA umeibiwa password?Najuta kwanini niliolewa........................
Tausi unaolewa lini??? Lol!!Usiogope kuolewa. Pitia hicho kikombe ukiwa na imani utafanikiwa.
Kama kuna aliyekukwaza basi hesabu kama ni tukio peke na siyo tukio kawaida.
Mimi nilichoona hadi sasa ni kujitayarisha kwa lolote lakini nikiweka milango wazi
na kuombea mema.
Ndoa ni kitu kizuri. Wanaoingia wakitegemea raha tu bila karaha huishia kutaabika maana karaha inapowagusa
hawachelewi kuruka nje.