Waheshimiwa
Na wataalum wote
wa mambo ya mahusiano,mapenzi na urafiki
naombakuuliza ni nini au ni kitu gani
Kinacho mfanya mtu kuoa au kuolewe?
Je ndoa zote ni matokeo ya upendo wa hali ya juu??
Ni hayoo tu
Ps. ..maoni yote yana karibishwa
asanteni
AD
Mara ngapi bana.......................we acha hivyo hivyo pretend kama hujaona
hahaaaaaaaaaaaaaa mpenzi wangu,hakuna barabara iliyonyooka ushaiona wapi wewe... unataka kushuka tu milima hutaki kupanda ndo kinachokuponza.
Jamani da mzuri Chauro
ya lolliondo imenyooka
Khaaa au we bado hukwenda kule..
hahahshhah lol
Nimefanya hivyo ndio nikazidi kuchanganyikiwa.
Ukifuata link hii
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/124457-inakuwaje-mambo-haya-10.html
post namba 183 inasomeka hivi:-
Kwenye uzi huu,
sasa Husninyo ataoa vibinti au ataolewa na njemba?
Daahh
sante sana my dear
daahh umenichekesha eti
nataka kuolewa mmmhhh
mmhh mwenzangu mie kuolewa
Daahhh hiyo kitu naogopa
mie mwanaume aki propose na mwacha
tayari wawili mmhhh
AD kweli wewe uko tofauti. wengine wanakesha kusali kuomba wapate mume wewe unawakimbia!! halafu mnabakia kulalamika mbona hatuolewi..wanaume wanamega na kuchapa lapa....kumbe pia wanawake wanaweza kuwa chanzo..ndoa ni jambo la hiari kati ya wawili waliopendana mtu mume na mtu mke kuendana na maandiko matakatifu na kuishi kwa pamoja kwa SHIDA na RAHA mpaka siku kifo kitawatenganisha...kwa kufuata sheria na kanuni za ndoa. hivyo kwenye ndoa kuna raha na karaha..hakuna ndoa inayoweza kusimama bila kuwa na misukosuko midogo midogo ya hapa na pale. kwa binadamu hakuna alie mkamilifu
Pia lipo kundi la Ndoa nyingi zakushinikizwa na wazazi.
"mnazurura kwenye miji ya watu hovyo tu mtajenga lini ya kwenu?" "ukitaka kupiga kelele kajenge kwako!" kauli kama hizi very primitive utaoa/kuolewa bila kupenda.
dah.. huwa inatokea mtu! mtu umekaanaye kama g.f.b.f wako kwa muda mrefu.. basi inafika kipindi unahitaji kuwa naye karibu zaidi nafkri the only way ni ndoa
Ahaa ahaa ahaa umeona ehee nakuaminia mamawewe hiyo fani ya kuunganisha matukio huna kipaji nayo. Waachie wenyewe fani yao.
Hebu soma vizuri hicho kinachokuchanganya halafu ujipe mwenyewe jibu.
Daahh
sante sana my dear
daahh umenichekesha eti
nataka kuolewa mmmhhh
mmhh mwenzangu mie kuolewa
Daahhh hiyo kitu naogopa
mie mwanaume aki propose na mwacha
tayari wawili mmhhh
Ninaheshimu mawazo na maamuzi yako, lakini usiseme "maji haya siyanywi".
Wakati haujafika tu Dada, ukifika "unaweza ukuoana na wako". Nimetumia neno kuoana kwa sababu kuolewa lina harufu ya kumilikiwa na sikuoni kama uko tayari kufanyiwa hivyo.
Mi naoa uzeeni nikioa tu nimejipiga kitanzi...nitakuwa naonana vp na nyie wapwa
Huku na huku naoa mke kama Lucy Kibaki nyie wapwa sijui kama mtakuwa mnakanyaga home achilia mbali mm manyanyaso nitakayo kuwa nayapata lakini umri ukiwa umekwenda aaah navumilia tu. Kwa sasa damu bado inachemka nahitaji kupata tuzo ya kuwa na watoto wengi.
Hawezi kumbuka ameishawapa mimba wengine watatuHahahah hivi kweli
Fidel atakumbuka kweli
mmmhhhh hata mie nasubiri jibu lol
Hivi huo ndo unatafsiriwa kama urijali?Hawezi kumbuka ameishawapa mimba wengine watatu
Hawezi kumbuka ameishawapa mimba wengine watatu