mmmhhh NDOA???

mmmhhh NDOA???

naomba kuuliza,ivi ndoa ni mbaya au sisi ndo tunzifanya kuwa mbaya?
 
Mambo ya Lugha haya....
ume(ta)oa au kuolewa?

kwa sababu (z)ipi?

Umeoa au kuolewa?

Kwasababu (z)ipi??

Kama ndio wewe Husninyo mwenyewe (maana humu JF kunaonyesha kuna maajabu zaidi ya yale ya Musa); jibu swali kwanza please kabla hujauliza. Natanguliza shukrani.
(JF ina mambo tena sio madogo)

Asante sana...

mimi hata sijajua nitaolewa kwa sababu zipi.
Huwa sifikirii habari za kuolewa. Nahisi sipendi.
 
Anza kusoma tokea page ya kwanza

Nimefanya hivyo ndio nikazidi kuchanganyikiwa.

Ukifuata link hii
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/124457-inakuwaje-mambo-haya-10.html

post namba 183 inasomeka hivi:-

aisee babu nimeona vibinti vingi tatizo micharuko sana ikabidi niwapotezee.
Tatizo letu wengi huwa tunapendwa tusipopenda na kupenda tusipopendwa.

Kwenye uzi huu,

mimi hata sijajua nitaolewa kwa sababu zipi.
Huwa sifikirii habari za kuolewa. Nahisi sipendi.

sasa Husninyo ataoa vibinti au ataolewa na njemba?

Mambo ya Lugha haya....

(JF ina mambo tena sio madogo)

Asante sana...
 
Nililaumu ndoa mwanzo lakini nimegundua sisi ndo wabaya na ndio tunaifanya hii Taasisi Takatifu kuonekana ivo,Lakini ki msingi na ukweli tuzilaumu tabia zetu mbovu na chafu zinazoua ndoa zetu na kuangamiza maadili ya kizazi kijacho.Ndoa kama ndoa haina matatizo haya tunayoeleza humu.

Hilo ndio jibu Chauro
 
Dahhhhhhhh
siuna sasa unataka kubembelez wa
Nway ntakununulia pipi
Daahh hope umeridhika lol

Nway namwonea huruma
atakaye ingia kwenye hii familia lol
Hahahah hamna dogo dogo wala nana nana..

Heheheheh...nimeanza kubembelezeka!!
Ila kweli bwana fanya ule mpango basi...............:disapointed:
 
Lizzy Lizzy wanitakia nini mimi mtoto wa mwenzio

1. Ndio nataka kuoa yaani ukinikata na kiwembe au kisu damu ya mwili wangu inatoka na maneno yanayoonekana kuwa nataka kuoa
2. Nataka kuoa kwasababu:Nampenda na Nitamlinda, Yaani huyu mke wangu mtarajiwa ana akili kuliko hata Yusufu Makamba, Sio mwanachama wa CCM, Sioi kwasababu nataka anizalie watoto la hasha ila kwasababu nampenda yeye

:love::love:NAKUPENDA shem!!!

Karibu sana kwenye familia.....na huyo dada akileta maneno mengi nyumbani mlete kwangu nimnyooshe!!!
 
:love::love:NAKUPENDA shem!!!

Karibu sana kwenye familia.....na huyo dada akileta maneno mengi nyumbani mlete kwangu nimnyooshe!!!
Ohooo!! Yesss mbona anakujua fika hawezi kuleta maneno mengi
 
Nililaumu ndoa mwanzo lakini nimegundua sisi ndo wabaya na ndio tunaifanya hii Taasisi Takatifu kuonekana ivo,Lakini ki msingi na ukweli tuzilaumu tabia zetu mbovu na chafu zinazoua ndoa zetu na kuangamiza maadili ya kizazi kijacho.Ndoa kama ndoa haina matatizo haya tunayoeleza humu.
You have said it all Chauro
 
Sipendi ndoa mimi hata sijui kwanini niliolewa..........................
 
Heheheheh...nimeanza kubembelezeka!!
Ila kweli bwana fanya ule mpango basi...............:disapointed:
Halafu unajua nakutegemea wewe nitakupa mtihani wa kunifanyia designs ole wako uiingie mitini
 
Hembu rudi nyuma jitazame wewe na mwenza wako,tafuta ulikosea wapi sio yeye halafu anzia hapo am telling you ............utaniambia u will never be the same again!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sipendi ndoa mimi hata sijui kwanini niliolewa..........................
 
Hembu rudi nyuma jitazame wewe na mwenza wako,tafuta ulikosea wapi sio yeye halafu anzia hapo am telling you ............utaniambia u will never be the same again!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mara ngapi bana.......................we acha hivyo hivyo pretend kama hujaona
 
Back
Top Bottom