mmmhhh NDOA???

mmmhhh NDOA???

Vibaya hivyo mamito, mungu ndio aliowaunganisha bwana jifunze kuipenda tena kama mwanzo

Shikamoo da Maty
Eti unaweza kumpenda
mtu alie kukosea kama ulivyompenda
mara ya kwAnza..?
 
Sante my dear
nahii ndo kitu inayo tikisa maini..

Sasa acha kununa
Tuingie chumbani
damu ni nzito kuliko maji hahahahahahahah lol
Kukimbiana hatuwezi hii ndo shida ya kuwa na ndugu
Yako JF.. mmmmhhhh
Ingia kule tukasameheane
Hata sijui uhakika unapatikanaje mpnz!Ngoja nimuulize mtu swali la kichokozi!Heheh kweli kua na ndugu JF tabu..embu nibembeleze kidogo
 
Kuoa/kuolewa ni moja ya justification ya selfishness ya mwanadamu...........huyu wangu, wangu peke yangu...just selfishness basi
 
kuoa/kuolewa ni moja ya justification ya selfishness ya mwanadamu...........huyu wangu, wangu peke yangu...just selfishness basi

mkuu gy
sio wote wanasema hivyo kanisa letu wanasema huyu wetu sio wangu
tutake radhi
 
Shikamoo da Maty
Eti unaweza kumpenda
mtu alie kukosea kama ulivyompenda
mara ya kwAnza..?

Marahaba mdogo wangu,
inakuwaga ngumu kidogo na inachukua muda.
Ila mtu aliekosea akaja kugundua kosa lake, akarudi akaomba msamaha huwa anakuja kuwa mzuri zaidi baadae na ukajikuta umempenda tena.

Ila huwa inachukua muda kidogo kwa uliekosewa kumpenda tena kama zamani na inabidi kujitahidi kuliko uanze kumpenda mwingine.
 
Hata sijui uhakika unapatikanaje mpnz!Ngoja nimuulize mtu swali la kichokozi!Heheh kweli kua na ndugu JF tabu..embu nibembeleze kidogo

Dahhhhhhhh
siuna sasa unataka kubembelez wa
Nway ntakununulia pipi
Daahh hope umeridhika lol

Nway namwonea huruma
atakaye ingia kwenye hii familia lol
Hahahah hamna dogo dogo wala nana nana..
 
Fynest ehh..embu niambie baba we unataka kuoa?Kama ni ndio kwanini?
Lizzy Lizzy wanitakia nini mimi mtoto wa mwenzio

1. Ndio nataka kuoa yaani ukinikata na kiwembe au kisu damu ya mwili wangu inatoka na maneno yanayoonekana kuwa nataka kuoa
2. Nataka kuoa kwasababu:Nampenda na Nitamlinda, Yaani huyu mke wangu mtarajiwa ana akili kuliko hata Yusufu Makamba, Sio mwanachama wa CCM, Sioi kwasababu nataka anizalie watoto la hasha ila kwasababu nampenda yeye
 
Ukiacha sababu zote zilizotajwa, lazima kuna chembe ya upendo..au upendo utafuatia baada ya kutaka kuoa/kuolewa na mtu kwa sababu fulani...Sisi binadamu, hivyo tuna hisia...Mtu unawezaje ku-spend the rest of your life na mtu ambaye humpendi? labda kama ni strategy kutimiza malengo fulani halafu muachane!!
 
Kuoa/kuolewa ni moja ya justification ya selfishness ya mwanadamu...........huyu wangu, wangu peke yangu...just selfishness basi

Hahahshhah
Nimeangukia kicheko sijui kwa nini..
nway looks like ur 110% out..
sio kama sisi mguu nje mguu ndani..
dahh umeniacha hoi..
 
Digna...........aksante kwa kunichekesha asubuhi.................... dah

AD......... kuna sababu nyingi tu zinazowafanya watu waoe/olewe na hiyo ya upendo wa hali ya juu ni mojawapo ambayo kwa bahati mbaya pamoja na kuwa ni ya muhimu but ni wachache waliobahatika kutunukiwa.

Wengine huoa/olewa kwa sababu either muda umefika
Wengine kwa kuwa marafiki na wenzi wa rika lao wote wameoa/olewa so wanaona na wao hawana budi
Wengine ndugu wanawaforce kuoa/olewa
Wengine wanategeshewa (hasa wanaume) galfriend anabeba mimba so wanazuia mtoto kuzaliwa out of wedlock
Wengine kutokana na ugumu wa maisha (umasikini)
n.k.

So sababu ni nyingi tu AD.
Unataka kuolewa?

Ni kweli, maana kuna siku nilimuuliza babu yangu ni kitu gani kilimfanya amuoe bibi yangu? alinijibu kama ifuatavyo.

"Usimuone hivyo huyo bibi yako akiwa kijana alikuwa analima sana, alikuwa ana uwezo wa kushinda shambani mchana kutwa sasa kwasababu mimi nilikuwa na Shamba kubwa niliona atanifaa"
 
Marahaba mdogo wangu,
inakuwaga ngumu kidogo na inachukua muda.
Ila mtu aliekosea akaja kugundua kosa lake, akarudi akaomba msamaha huwa anakuja kuwa mzuri zaidi baadae na ukajikuta umempenda tena.

Ila huwa inachukua muda kidogo kwa uliekosewa kumpenda tena kama zamani na inabidi kujitahidi kuliko uanze kumpenda mwingine.

Lakini sasa Da Maty
Yale maugomvi ya hapa n a pale
Siyanaweza kitibua kidonda kikubwa
Maana saa nyingine haijalishi miaka mingapi
imepita mtu hawezi sahau..
 
Lizzy Lizzy wanitakia nini mimi mtoto wa mwenzio

1. Ndio nataka kuoa yaani ukinikata na kiwembe au kisu damu ya mwili wangu inatoka na maneno yanayoonekana kuwa nataka kuoa
2. Nataka kuoa kwasababu:Nampenda na Nitamlinda, Yaani huyu mke wangu mtarajiwa ana akili kuliko hata Yusufu Makamba, Sio mwanachama wa CCM, Sioi kwasababu nataka anizalie watoto la hasha ila kwasababu nampenda yeye

Daahhh
namwonea wivu..
Mmmmhhhh
 
Lakini sasa Da Maty
Yale maugomvi ya hapa n a pale
Siyanaweza kitibua kidonda kikubwa
Maana saa nyingine haijalishi miaka mingapi
imepita mtu hawezi sahau..
It is always to acknowledge a mistake pale mtu unapokuwa umemkosea mwenzi wako mfano "NAOMBA UNISAMEHE MKE WANGU SAMAHANI KWA KUKUKOSEA", au "NAOMBA UNISAMEHE MUME WANGU SAMAHANI KWA KUKUKOSEA" hii huwa inaepusha mambo mengine na kama mtu sio wale wa kuweka vinyongo ambao baadae unaweza kufanya kitu kidogo akaanza kusema "Si unakumba kosa la siku ile halafu nikakusamehe" watu wa aina hii daima sio wazuri maana anakuwa hajakusamehe anakuwekea kinyongo anasubiri siku ukifanya kosa dogo akukumbushie yale ya zamani.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ndoa za siku hizi zimejaa maigizo sio mchezo...na nahisi watu wengi have got wrong patners kwasababu misukumo wa ndoa hukutokea ndani kabisa ya mioyo yao...ilikuwa driven na external forces!
 
Back
Top Bottom