Hehehehehe.... we noma...khaa!
Umenikumbusha nliwahi kudeti kabinti flani hivi wakati tunafanya tabia mbaya kakapiga kelele "Daniel nakuja darling...."......... Huyo daniel sijui ndo nani yailah toba......... Na ndo ukawa mwisho wetu hakyanani.
Basi mzee mzima nilivo na mawivu, nikapiga chini hiyo CRAP!........ Raha nikupe mimi, utukufu apewe mwingine....... wapi na wapi bana?Babu, heheheheheh..
usikute kalikuwa kanamwita yule wa Biblia..heheheheheh!!!
Aliona mbingu i karibu..lol!
Hapo kwenye bold..utata mtupu!
Human psychology iko kwamba, mara nyingi unapoingia kwenye uhusiano ambapo tayari alikuwepo wa mwanzo hasa kwenye kesi kama hii ya mke "aliyeondoka siyo kwa kupenda bali kwa mapenzi ya mola", "wakuja" ana kazi kwelikweli.Kuna kipimo tayari cha utendaji!
Mume huyo ana kazi ya kuvuka kizingiti cha kulinganisha. Ajue kila mtu ana vionjo tofauti. Bahati mbaya sana mke wa pili hajafikia kiwango kile na hata hawezi kulingana kwa vionjo maana binadamu wako tofauti.
Mume ana bahati mbaya kuwa kilinganisho kimetokea kwenye tendo hilo.Wengine wanaweza kujikuta hawaridhishwi na mapishi, usafi, tabia njema, na mengineyo.
Cha kufanya sidhani ni kuongea na mke mpya kuhusu hili swala bali ni kwa mume kujitahidi kuzoea vionjo vipya na hata kujaribu kumwelekeza mke mpya nini akipendacho na kuepuka kuvuta hisia kwa marehemu!
Labda swali jingine ni muda gani ulipita kati ya mke wa kwanza na huyo wa pili? Na kama kulikuwa na tatizo la namna hii kabla ya kuamua kufunga ndoa?
Hehehehehe.... we noma...khaa!
Umenikumbusha nliwahi kudeti kabinti flani hivi wakati tunafanya tabia mbaya kakapiga kelele "Daniel nakuja darling...."......... Huyo daniel sijui ndo nani yailah toba......... Na ndo ukawa mwisho wetu hakyanani.
Basi mzee mzima nilivo na mawivu, nikapiga chini hiyo CRAP!........ Raha nikupe mimi, utukufu apewe mwingine....... wapi na wapi bana?
bora weye babu umelishuhudia hili enzi hizo ukiwa unafanya tabia mbaya,
sasa huyu mshikaji yupo kwenye ndoa tayari......
hebu msaidie bana, tumia busara yako mzee............
Mambo kama hayo yanaweza kutokea kweli, ni tatizo la kisaikolojia ambalo aidha awaone wataalamu wamshauri au akae muda mwingi na mkewe na kumweleza jinsi ambavyo atajisikia vizuri kwenye tendo la ndoa. Kwenye ndoa kunahitaji uwazi na ukweli lakini asimwambie mkewe kwamba akitaka kumaliza "round" maana hatapendezwa. Pole yake sana.
"usione soo, zungumza na mwenzio"
Kusema la ukweli bacha,'
kama mshkaji anaridhika na mkewe pia anaridhika aendelee tu..
Ikiwa ni kwa nia njema, basi yote mema!
Ama na hapo nimekosea tena..
Mkuu hiyo ni ngumu sana......bora weye babu umelishuhudia hili enzi hizo ukiwa unafanya tabia mbaya,
sasa huyu mshikaji yupo kwenye ndoa tayari......
hebu msaidie bana, tumia busara yako mzee............
Mkuu hiyo ni ngumu sana......
Nina rafiki yangu alifiwa na mkewe. Ameoa mke mwingine. Picha kuuuuuuuuuuubwa ya mkewe wa zamani bado iko sebuleni. Mke mpya inamboa sana manake jamaa kila akirudi job lazima aiangalie na kuishika. Tumejaribu kumwambia jamaa aitoe ili asimuumize mke wa sasa jamaa amegoma. Eti yuko tayari mke wa sasa aondoke kuliko kuitoa ile picha pale ukutani.
Haya mambo ya mapenzi ni magumu sana. Inahitaji muda kusahau....kwahiyo huyo bibie avumilie tu, iko siku jamaa atasahau....kungekuwa hakuna kusahau duniani kusingekalika.
okay, nadhani upo sawa!!!!
watu wanamshauri ajivue gamba, a ukubali hali iliyopo sasa!!!!!
Mkuu hiyo ni ngumu sana......
Nina rafiki yangu alifiwa na mkewe. Ameoa mke mwingine. Picha kuuuuuuuuuuubwa ya mkewe wa zamani bado iko sebuleni. Mke mpya inamboa sana manake jamaa kila akirudi job lazima aiangalie na kuishika. Tumejaribu kumwambia jamaa aitoe ili asimuumize mke wa sasa jamaa amegoma. Eti yuko tayari mke wa sasa aondoke kuliko kuitoa ile picha pale ukutani.
Haya mambo ya mapenzi ni magumu sana. Inahitaji muda kusahau....kwahiyo huyo bibie avumilie tu, iko siku jamaa atasahau....kungekuwa hakuna kusahau duniani kusingekalika.
Mmh..babu! Huyu jamaa, unayemwita Jamaa yako am assuming ni agemate wako...
So, sidhani kama nitakuwa nimekosea niki-assume pia kwamba hiyo picha kama si ya kuchorwa kwa mkono
basi walau ni zilee za black n white ...so ina carry kumbukumbu nyingi sana kwake na huwezi kupata nyingine kama hiyo at this tym!
Mwache aiweke kama archive...
lol....mnato tena ...........?
Masikini.........pole zake inavyoelekea alimpenda sana mkewe wa kwanza na pengine alioa wa pili haraka sana akiwa bado hajakubali kuwa mkewe wa kwanza hayuko na hatokuweko tena naye. Hakuiacha wala kuia nafasi denial stage ikakomaa na kupita!!
Au huyu wa pili hampi alivyokuwa anapewa na marahemu?? Si aseme naye tu, asione soo! LOL