kwenye avatar yako, hapo v inapoishia/inapoanzia panaitwa ndumandu, nilipokuwa chuo kuna room mate wangu flan alikuwa nayo kubwa hakunaga he hee afu anavaa suruali za kupa-bana zaidi. Alikuwa analalamika sana kuwa kila anaekuja mbele yake lazima amuangalie sana maeneo ya ndumandu.
Unanikumbusha chuo kila nikipaangalia
Hahahahahah lol! Hilo Jogoo lililonona haliko single hilo ni married labda linataka kuchangamkia nyumba ndogo ndio maana likaamua kuficha status yake ya kweli LOL!...Huoni mama anavyolitunza kwa makaangizo ya misosi bab kubwa limejaza katika kila kiungo.
Hahahahaa Smile ikija kwa binadamu ni vice versa bana..mwanamke akiwa single anashine sana akiolewa mmh hamna wa kumwambia "za saa hizi" mwanaume akioa ndo anapendeza kwa sababu ya matunzo ya mke,kila kitu anafanyiwa yeye ni kwenda kazini tu..